Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Simba amechutama kuleee katikati ya nyasi akijiandaa kumrukia digidigi; chui naye yuko juu mtini kule akishuka kwa kasi kumuwahi digidigi yule yule anayewindwa na simba. Digidigi hana hata habari anaendelea kula zake nyasi japo machale yameshamcheza muda ukifika atageuzwa chakula kwa atakayemuhahi kati ya wawili hao.
Hii pia tunaweza kufananisha na mwanamke mwenye sifa za uzuri huku wanaume wawili wenye nguvu ya pesa wakinfuatilia kwa karibu. Kila mmoja akibaatisha bahati yake.
 
Back
Top Bottom