mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Na baaada ya kugundua anawindwa anataka amuombe moja ya maadui amuhifadhi asiliweSimba amechutama kuleee katikati ya nyasi akijiandaa kumrukia digidigi; chui naye yuko juu mtini kule akishuka kwa kasi kumuwahi digidigi yule yule anayewindwa na simba. Digidigi hana hata habari anaendelea kula zake nyasi japo machale yameshamcheza muda ukifika atageuzwa chakula kwa atakayemuhahi kati ya wawili hao.
mchina ni mpigadili tu, CCM wamebugi kumwomba ati atoe tamko, - angekuwa Urusi walau ningeamini kwamba sasa nchi yetu imeingia anga za ulinzi wa kimataifa.China na demokrasia wapi na wapi, mijititu mabilioni inaongozwa na dikteta mmoja anavyotaka
Mbona CCM ni chama rafiki na CCP tokea 1967 enzi za Kambarage?Kwa hiyo kijani mmekubali role model wenu awe Xi Jin Ping?[emoji851]
Unforgetable
Hana jinsi ya kuepuka kuliwa, labda achague anataka kuliwa na nani.Na baaada ya kugundua anawindwa anataka amuombe moja ya maadui amuhifadhi asiliwe
Napenda watu wanaoona kama mimi.Iko siku Tz itakuwa sababu ya vita ya Dunia