Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

Lengo la maandamano ni ili Samia
Atoke madarakani
Swali akishatoka akae nani?
 
Inapita mwez sasa wale jamaa hawajafagiaa na kuokota uchafu
 
Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka.

Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini.

Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya pamoja Kwa vyombo vya usalama.

Sasa Kampuni nyingi za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12, nyingne kuanzia tarehe 08-10/12 hawauzi, hii imetokana na kuogopa maandamano na gari zao kutiwa kiberiti.

Yaani yakiitishwa maandamano Tanzania, shughuri nyingi katika nchi zitasimama.

Aione
Samuya

Mto wa mbu
Manhattan-USA


Asante sana kwa taarifa.
UN plaza-New York
 
Umekaa umevimbiwa makande hapo unaanza kuandika upupu.

Sijui kama unajua madhara ya kusimamisha shughuli za uzalishaji kwa uchumi wa nchi.

Hata mkiandamana hakuna kitakachopatikana zaidi ya kuumia tu.

Hao mnaoita mafisadi hawataumia wataoumia ni sisi watu wa kawaida kabisa.
Sasa wewe chawa si umwambie ukweli boss wako aachie nchi ili kutuepushia na haya madhila
 
Samia katangaza kuwa tarehe 9/12/2025 kutakuwa na zoezi la usafi nchi mzima.Usafi utafanywa na polisi pamoja na jeshi la watawala wa CCM ambalo linajiita la wananchi.
Huo usafi tutafanya nao wasiwaze
 
Back
Top Bottom