Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Na hivi hamnaga uvumilivu,mnaweza kumuwamba makofi huyo mwalimu kiazi wenu hapo kesho
 
Kesho unaweza ukaishia katikati kutangaza mpira humu. Au unaweza usitangaze kabisa
Kesho wapi tena...hujui kesho ni tarehe 5 saizi ni saa 00:14 inamaana ile tarehe nne iliyokua ikisubiriwa ndio leo

Nione kama kelele za chura zinaweza kumzuia simba kunywa maji
 
Kiukweli Huwaga Naburudika Sana Pale Tushabiki Tunatojiita Twananchi Tukianza Kuzimia Baada Ya Kutusuliwa Goli Na Mnyama! Yaan Mie Nafurahi Wazimie Hata Wote! Aaf Kwa Dhihaka Mashabiki Wa Mnyama Wanawazomea Huku Wanawaangalia Usoni! Nikitendo Kinacho Kera Hasa Kama Umefungwa Na Ulikua Namatumaini Yakushinda!
"SIMBA TAIFA KUBWA"
 
Mkuu kwahivyo nyie ndo mnajua eeh akina Molinga na Kalengo na Sadney ila akina Kagere, Chama na Miquissone ni wabaya ha ha ha

Tutaelewana tu, One Touch Operation 3 Points
Kwani nyie huwa mnajua wachezaji wazuri na wabaya? Si huwa mnaunda zengwe tu basi mnafukuza mchezaji?
 
Umetisha mkuu, embu ongeza Volume kidogo wasikie..[emoji23][emoji23]
 
Habari mbaya upande wa pili, sisi tunaongeza majeshi wao hawana hata dalili.....

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…