kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Yupo atawashona Tundu mlilotobolewa na kagera keshoVpi D Nchimbi mbona hasikiki wala kumtupia kwenye picha zoezini? Au ndio bas tena na yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo atawashona Tundu mlilotobolewa na kagera keshoVpi D Nchimbi mbona hasikiki wala kumtupia kwenye picha zoezini? Au ndio bas tena na yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hivi hamnaga uvumilivu,mnaweza kumuwamba makofi huyo mwalimu kiazi wenu hapo keshoKwanini nifurahi mkuu....kwani huyo tariq mwanandondo.....
Na karateka lamine Moro wana kiwango gani?....
Huyo Lamine Morogoro....sijui....si alikuja kwetu kuomba kibarua tukamnyima kwenu dhahabu....
Mkuu ntajie mchezaji wenu anayeweza kupata namba kwenye timu namba kumi na sita kwa ubora Afrika SIMBA SC
Kesho wapi tena...hujui kesho ni tarehe 5 saizi ni saa 00:14 inamaana ile tarehe nne iliyokua ikisubiriwa ndio leoKesho unaweza ukaishia katikati kutangaza mpira humu. Au unaweza usitangaze kabisa
Kesho unaweza ukaishia katikati kutangaza mpira humu. Au unaweza usitangaze kabisa
Kwani nyie huwa mnajua wachezaji wazuri na wabaya? Si huwa mnaunda zengwe tu basi mnafukuza mchezaji?
Umetisha mkuu, embu ongeza Volume kidogo wasikie..[emoji23][emoji23]Kiukweli Huwaga Naburudika Sana Pale Tushabiki Tunatojiita Twananchi Tukianza Kuzimia Baada Ya Kutusuliwa Goli Na Mnyama! Yaan Mie Nafurahi Wazimie Hata Wote! Aaf Kwa Dhihaka Mashabiki Wa Mnyama Wanawazomea Huku Wanawaangalia Usoni! Nikitendo Kinacho Kera Hasa Kama Umefungwa Na Ulikua Namatumaini Yakushinda!
"SIMBA TAIFA KUBWA"
Mbona hukuanza kubet Mkuu?
Ha ha ha Nataka nione uzalendo wako.Hapana mkuu, fuatilia rekodi kuna mechi matokeo mwaka juzi hayakuwa mazuri lakini nilimaliza
Nipo tayari, ila usikimbie jukwaa pale MK 14 atakapo fanya vitu vyake..!
Vichezaji gani vya kufanya horror show? Hivi vya kurukaruka tu cjui vikina kashata,cjui kanda bongomani?Leo Vyura watakutana na HORROR SHOW pale taifa kutoka kwa Mnyama Simba.
Simba nguvu moja
#OneTouch
#Operation3Points
Safi chief hao chura watafute pakutokea[emoji881][emoji881][emoji881]Scars makovu sio tatuu za young mula, vitani silaha mbele tushawakalisha hawa vyura...View attachment 1312055View attachment 1312056
It's Scars