Unaona ulivyo matqko kwahiyo hukumu ya waandamanaji ni kupigwa risasi za moto na kufa.?Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Mama yako Samia hawezi kutengeneza serikali yake.Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Unatuumiza macho na ujinga wako. Anyway kwa hii serikali ya watekaji usipokufa kwenye maandamano utakufa kwa kutekwa kimyakimya kama akina mdude na wengineo. So ni bora nifie kwenye maandamano kwenye watu wengi kuliko kufa kwa kunyakuliwa kama kifaranga cha kukuTukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Hata nikipigwa risasi wewe haikuhusu. Na kuhusu swala la kumuamaini huyo mama Yako wewe muamini inatosha na nenda naye huko unakokujua wewe.Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Kilimshinda nini kwenye miaka minne aliyosema ataleta maridhiano, ndio aweze ndani ya siku 100 za sasa? Yeye kachaguliwa na nani hadi tuwe na imani naye? Sisi tutaingia kwenye maandamano ya kumkataa yeye na serekali yake ya watekaji na wauaji, maandamano ni haki ya kikatoba, tutakufa kwa sababu gani kwa kutumia haki yetu ya kikatiba? Mngijikita kuandaa ushahidi ni wapa alipata kura 31m, maana hakuna popote wapiga kura walikuwa hao. Mnatuuzia hofu mkitegemea mtaendelea kututawala kwa shuruti?Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Mbwa taka taka weweTukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Nimeishiaa hapomheshimiwa mange kimambi yuko Marekani
Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa hata ukikinukisha wewe kuna direct benefit gani utayoipata yaani fanya ile wanaita opportunity cost je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba tusikubali kutumika wengi mpo kwa sababu ya mkumbo mheshimiwa mange kimambi yuko Marekani akiwa ana kadi ya kijani yaani raia wa marekani wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko na hata lengo likitimia government ika step down wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze tutafakari jamani tupunguze ujuha, tu muunge mkomo na tumuache mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini mama twendeni na mama.
Mbona haya hayakutokea kwa hayati JPM? Uliona kijana yoyote akiingia barabarani? Ipo siku utakubali ukweli.Kilimshinda nini kwenye miaka minne aliyosema ataleta maridhiano, ndio aweze ndani ya siku 100 za sasa? Yeye kachaguliwa na nani hadi tuwe na imani naye? Sisi tutaingia kwenye maandamano ya kumkataa yeye na serekali yake ya watekaji na wauaji, maandamano ni haki ya kikatoba, tutakufa kwa sababu gani kwa kutumia haki yetu ya kikatiba? Mngijikita kuandaa ushahidi ni wapa alipata kura 31m, maana hakuna popote wapiga kura walikuwa hao. Mnatuuzia hofu mkitegemea mtaendelea kututawala kwa shuruti?
Hakuna atakayefanikiwa tena kuwauzia uoga Watanganyika. Mwisho wa uoga ulikuwa Oktoba 29Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita opportunity cost.
Je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane? Lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba. Tusikubali kutumika. Wengi mpo kwa sababu ya mkumbo.
Mheshimiwa Mange Kimambi yuko Marekani akiwa na kadi ya kijani, yaani raia wa Marekani. Wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko. Na hata lengo likitimia government ika step down, wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze. Tutafakari jamani, tupunguze ujuha.
Tumuunge mkomo na tumuache Mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa. Ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini Mama, twendeni na Mama.
Kwa taarifa yako hii kuingia barabarani Magufuli ndio kachangia. Na angeendelea kuwepo haya yangemkutaMbona haya hayakutokea kwa hayati JPM? Uliona kijana yoyote akiingia barabarani? Ipo siku utakubali ukweli.