Kuelekea Dec 09 vijana msiwaache wazazi wenu na ukiwa hebu mjitambue

Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?

Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita opportunity cost.

Je uko tayari kutoa uhai wako ili katiba ipatikane? Lakini ukishapigwa kete nani atatumia hiyo katiba. Tusikubali kutumika. Wengi mpo kwa sababu ya mkumbo.

Mheshimiwa Mange Kimambi yuko Marekani akiwa na kadi ya kijani, yaani raia wa Marekani. Wewe baba yako na mama yako wako mikoani huko. Na hata lengo likitimia government ika step down, wewe bodaboda watakupa wizara gani uongoze. Tutafakari jamani, tupunguze ujuha.

Tumuunge mkomo na tumuache Mama Samia atengeneze kwanza selikali yake na aweze kuliponya Taifa. Ameshasema yote mnayohitaji atayafanyia kazi ndani ya siku 100. Tumuamini Mama, twendeni na Mama.
Hawawezi kukuelewa. Kenge huijua hatari akishatoka damu.
 
Kina Mandela ,Nyerere ,Kwame Nkurumah ,Samora ,Cheguvara etc wangekuwa na akili kama zako bado wazungu wangeendelea kutuuza kama nyanya kwenda kulima mashamba marekani!
 
Ingekuwa msaada Sana kwa mshua wako🤝
1756894942488.jpg
 
Anayeandamana anaswa kuuawa? Ninadhani huo ushauri wako ungejikita zaidi kuwashauri Jeshi la polisi kuepuka kuua raia wanaoandamana, Kuandamana ni haki ya kisheria, ni mtu mwenye akili na jasiri anayetambua future ya watoto na familia yake na kumlazimu kujitokeza kwa ajili yao! Nadhani kama kina Kinjekitile Ngwale na wenzake wangekuwa na matazamo kama wako, huenda mpaka leo tungekuwa watumwa.
 
Tuna bahati mbaya sana kama taifa kuwa na watu wa aina yenu.

Vijana kuandamana ni kutaka kuziumiza familia zao?

Vijana wamesema wanaandamana ili wawe mawaziri?
 
Hakuna maandamano ya amani kwenye nchi za dunia ya tatu, msitake kutuletea maafa mengine.
 
Kwa taarifa yako hii kuingia barabarani Magufuli ndio kachangia. Na angeendelea kuwepo haya yangemkuta
Utamdanganya nani? Wananchi wanyonge 99/% walikuwa upande wake
 
Attachments

  • image_search_1763543127559.jpg
    image_search_1763543127559.jpg
    35.3 KB · Views: 10
Back
Top Bottom