Kuelekea Dec 09 vijana msiwaache wazazi wenu na ukiwa hebu mjitambue

Hawawezi kukuelewa. Kenge huijua hatari akishatoka damu.
 
Kina Mandela ,Nyerere ,Kwame Nkurumah ,Samora ,Cheguvara etc wangekuwa na akili kama zako bado wazungu wangeendelea kutuuza kama nyanya kwenda kulima mashamba marekani!
 
Anayeandamana anaswa kuuawa? Ninadhani huo ushauri wako ungejikita zaidi kuwashauri Jeshi la polisi kuepuka kuua raia wanaoandamana, Kuandamana ni haki ya kisheria, ni mtu mwenye akili na jasiri anayetambua future ya watoto na familia yake na kumlazimu kujitokeza kwa ajili yao! Nadhani kama kina Kinjekitile Ngwale na wenzake wangekuwa na matazamo kama wako, huenda mpaka leo tungekuwa watumwa.
 
Tuna bahati mbaya sana kama taifa kuwa na watu wa aina yenu.

Vijana kuandamana ni kutaka kuziumiza familia zao?

Vijana wamesema wanaandamana ili wawe mawaziri?
 
Tuna bahati mbaya sana kama taifa kuwa na watu wa aina yenu.

Vijana kuandamana ni kutaka kuziumiza familia zao?

Vijana wamesema wanaandamana ili wawe mawaziri?
Hakuna maandamano ya amani kwenye nchi za dunia ya tatu, msitake kutuletea maafa mengine.
 
Kwa taarifa yako hii kuingia barabarani Magufuli ndio kachangia. Na angeendelea kuwepo haya yangemkuta
Utamdanganya nani? Wananchi wanyonge 99/% walikuwa upande wake
 

Attachments

  • image_search_1763543127559.jpg
    35.3 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…