Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Na Ihefu ilikuwaje? [emoji1787][emoji1787]gamondi anahaki yakutamba kwasababu anakikosi kipana kile mchezaji anakitu labda wachezaji wachache tuu bado hawajajipata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Ihefu ilikuwaje? [emoji1787][emoji1787]gamondi anahaki yakutamba kwasababu anakikosi kipana kile mchezaji anakitu labda wachezaji wachache tuu bado hawajajipata.
Umesema vizuri ila Kanoute umemuonea. Halafu Mwamba karudi poa sana. Aucho akiwa na Putin shughuli huijua.Uchambuzi mzuri sana mkuu.
Nikuongezee kitu.
Silaha kubwa kuliko zoye ya kudefence (kujilinda) ni kushambulia.
Silaha kubwa ya pili ni kumiliki mpira.
Hakuna kocha asiyependa kuona timu yake inapiga pasi nyingi sana ianashambulia kwa kasi ,kumiliki mchezo na ku udominate possesion kwa asilimia 80 kwa 20.
Ni wachezaji wenye uwezo mbovu alionao ndio wanamfanya abadili mfumo na kuita Objective football
Wachezaji kama kibu, saido, kanute uwezo wao wa kupiga pass ni mdogo sana wanapoteza mpira kila mala
( Ila workrate yao ni kubwa zaidi uwanjani ndio wachezaji wagumu zsidi uwanjani na wapo kila sehemu.
Nadhani simba watafanya sajili Dirisha Dogo ili kiweza kurudi kwenye ubora wao
Wakipata kiungo kama Lwanga na no 10 wa kuchukua nafasi ya Saido watakuwa na timu nzuri zaidi.
Karibu
Huyo simba mwenye wachezaji wabovu na wasiojua kupiga pasi, ndio hao wanaoongoza kwa kupiga pasi nyingi katika ligi na ni wao pia waliocheza mechi chache zaidi lakini pia ni timu pekee haijapoteza mchezo ligi kuu na haina drooo. Usijudge kishabiki embu jaji mpira kwa hakiUchambuzi mzuri sana mkuu.
Nikuongezee kitu.
Silaha kubwa kuliko zoye ya kudefence (kujilinda) ni kushambulia.
Silaha kubwa ya pili ni kumiliki mpira.
Hakuna kocha asiyependa kuona timu yake inapiga pasi nyingi sana ianashambulia kwa kasi ,kumiliki mchezo na ku udominate possesion kwa asilimia 80 kwa 20.
Ni wachezaji wenye uwezo mbovu alionao ndio wanamfanya abadili mfumo na kuita Objective football
Wachezaji kama kibu, saido, kanute uwezo wao wa kupiga pass ni mdogo sana wanapoteza mpira kila mala
( Ila workrate yao ni kubwa zaidi uwanjani ndio wachezaji wagumu zsidi uwanjani na wapo kila sehemu.
Nadhani simba watafanya sajili Dirisha Dogo ili kiweza kurudi kwenye ubora wao
Wakipata kiungo kama Lwanga na no 10 wa kuchukua nafasi ya Saido watakuwa na timu nzuri zaidi.
Karibu
Michezo miwili ya kimataifa imefunga na kufungwa goli 6.Na kutoa sare michezo miwili na timu ya kawaida Power Dynamo,ni kweli siyo timu ya kubeza!.Mpira haupo hivyo mkuu.
Gamondi ndie anaiogopa zaidi simba ameenda zaidi ya mala tatu uwanjani kuisoma.
Gamondi ana Deni la kupoteza mchezo Muhimu wa ngao ya jamii uliopita na kumpa simba ubingwa pia amepoteza mchezo wa Ligi na Ihefu.
Robertinho ana Muda mrefu na simba.
Hajawahi kufungwa na Yanga tangu uganda.
Timu yake ina Avantage imecheza michezo mikubwa hapa karibuni ni zoezi zuri kuelekea Dabi
Kutoa sale na Alhly michezo miwili hiyo timu si ya kubeza.
Kiutaalam simba ni Favourate zaidi.
We jamaa Power dynamo ni timu ya kawaida kweli ebu tuwape heshima wapinzaniMichezo miwili ya kimataifa imefunga na kufungwa goli 6.Na kutoa sare michezo miwili na timu ya kawaida Power Dynamo,ni kweli siyo timu ya kubeza!.
Na Ihefu ilikuwaje? [emoji1787][emoji1787]
Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023
Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba
Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka safi, amekuwa akiitengeneza timu yake kucheza mchezo wa kuvutia kwenye kila mechi, pasi nyingi, kosa kosa nyingi na zaidi mpira wa burudani, Hii ni staili bora ambayo mashabiki wanaipenda na amekuwa na uwezo wa kubadilika kwenye kila mchezo kwenye eneo la ushambuliaji, kiungo na hata mabeki kutokana na kikosi chake kuwa na watu wengi.
Siyo jambo la ajabu kucheza bila mshambuliaji kwenye mechi zake, siyo ajabu kumuona Mzize akianza na siyo ajabu kumuona akiwatumia mabeki watatu badala ya wanne kama ilivyokuwa kwenye mchezo dhidi ya Azam.
Kwa upande wa Kocha wa Simba Robertinho, amekuwa tofauti na Gamondi msimu huu timu yake haijacheza mechi hata moja ikivutia, lakini ni timu ambayo ni ngumu kupoteza mchezo kwenye dakika tisini pamoja na kwamba imekuwa ikiruhusu mabao mengi kwenye timu yake.
Robertinho amekuwa akibadili kikosi chake kila kila kinachopata bao au kinaporuhusu bao kwenye mchezo wowote, ni kocha ambaye analinda alichonacho, huku Gamondi akiendelea kutafuta kitu kipya hata baada ya kupata, akifunga bao moja anatafuta la pili, Robertinho akifunga moja analilinda hilohilo.
Au IMEMKANDAAAAisifiaye mvua imemnyea....
Yanga hana timu hata ya kutoa sare na simba hii ya Robertinhodakika 90 sio nyingi tuwe wapole ila nakuambia yanga anashinda.
Wananchi subirini kipigo!! Ukweli ni kwamba ukipokea kipigo hutakumbuka kuwa ulicheza mpira wa kuvutia!! kitakachotokea ni kununa!! Kumbukeni mgeni rasmi ni Kibu!!Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023
Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba
Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka safi, amekuwa akiitengeneza timu yake kucheza mchezo wa kuvutia kwenye kila mechi, pasi nyingi, kosa kosa nyingi na zaidi mpira wa burudani, Hii ni staili bora ambayo mashabiki wanaipenda na amekuwa na uwezo wa kubadilika kwenye kila mchezo kwenye eneo la ushambuliaji, kiungo na hata mabeki kutokana na kikosi chake kuwa na watu wengi.
Siyo jambo la ajabu kucheza bila mshambuliaji kwenye mechi zake, siyo ajabu kumuona Mzize akianza na siyo ajabu kumuona akiwatumia mabeki watatu badala ya wanne kama ilivyokuwa kwenye mchezo dhidi ya Azam.
Kwa upande wa Kocha wa Simba Robertinho, amekuwa tofauti na Gamondi msimu huu timu yake haijacheza mechi hata moja ikivutia, lakini ni timu ambayo ni ngumu kupoteza mchezo kwenye dakika tisini pamoja na kwamba imekuwa ikiruhusu mabao mengi kwenye timu yake.
Robertinho amekuwa akibadili kikosi chake kila kila kinachopata bao au kinaporuhusu bao kwenye mchezo wowote, ni kocha ambaye analinda alichonacho, huku Gamondi akiendelea kutafuta kitu kipya hata baada ya kupata, akifunga bao moja anatafuta la pili, Robertinho akifunga moja analilinda hilohilo.
Mkuu apo kwenye kupiga pas nyingi mbona unatudanganya takwim za wap izo mkuu [emoji38][emoji38] mpira n mchezo wa waz bana wote tunaangaliaHuyo simba mwenye wachezaji wabovu na wasiojua kupiga pasi, ndio hao wanaoongoza kwa kupiga pasi nyingi katika ligi na ni wao pia waliocheza mechi chache zaidi lakini pia ni timu pekee haijapoteza mchezo ligi kuu na haina drooo. Usijudge kishabiki embu jaji mpira kwa haki
Iyo mgen rasmi n kibu maana yake ni Kibu dei au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wananchi subirini kipigo!! Ukweli ni kwamba ukipokea kipigo hutakumbuka kuwa ulicheza mpira wa kuvutia!! kitakachotokea ni kununa!! Kumbukeni mgeni rasmi ni Kibu!!
ya Al Ahly katika mechi zote mbili!! Ndyo ya kutishiwa nyau na vibonde wa Ihefu?Huyo simba mwenye wachezaji wabovu na wasiojua kupiga pasi, ndio hao wanaoongoza kwa kupiga pasi nyingi katika ligi na ni wao pia waliocheza mechi chache zaidi lakini pia ni timu pekee haijapoteza mchezo ligi kuu na haina drooo. Usijudge kishabiki embu jaji mpira kwa haki
Tumia akili vizuri, sio unatumia makalio kuandika.Kwa kuongezea Simba ndiyo iliyomiliki mpira zaidi
ya Al Ahly katika mechi zote mbili!! Ndyo ya kutishiwa nyau na vibonde wa Ihefu?
Nyie mlifanya nn zaidi ya kipa wenu kudaka penati za mba mba mba, mpira hata haujapigwa mtu kashatoka kwenye mstari [emoji1]If you possess the ball on your half field of the pitch you're crazy possession starts from your opponent half –jahan cruyff–
Kule tanga robertinyo aliwaacha mmiliki mpira na hakuna mlichofanya.
Sawa siku ile ya kibu Denis robertinyo aliwakosa goal kama 10 pale taifa clear chances kabisa.Nyie mlifanya nn zaidi ya kipa wenu kudaka penati za mba mba mba, mpira hata haujapigwa mtu kashatoka kwenye mstari [emoji1]