Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

Umesema vizuri ila Kanoute umemuonea. Halafu Mwamba karudi poa sana. Aucho akiwa na Putin shughuli huijua.
 
Reactions: BRN
Huyo simba mwenye wachezaji wabovu na wasiojua kupiga pasi, ndio hao wanaoongoza kwa kupiga pasi nyingi katika ligi na ni wao pia waliocheza mechi chache zaidi lakini pia ni timu pekee haijapoteza mchezo ligi kuu na haina drooo. Usijudge kishabiki embu jaji mpira kwa haki
 
Michezo miwili ya kimataifa imefunga na kufungwa goli 6.Na kutoa sare michezo miwili na timu ya kawaida Power Dynamo,ni kweli siyo timu ya kubeza!.
 
Michezo miwili ya kimataifa imefunga na kufungwa goli 6.Na kutoa sare michezo miwili na timu ya kawaida Power Dynamo,ni kweli siyo timu ya kubeza!.
We jamaa Power dynamo ni timu ya kawaida kweli ebu tuwape heshima wapinzani
 
Reactions: BRN
Kwa mimi ninavyoona pira la robertinho ndo pira hasa
Najua kuna watu mnapenda pira la kukaa na possesion muda pira mapasi kibao muda wote ila muda unasogea mbinu mpya zinakuja

Mambo ya lwb,rwb,false nine, fox in the box hayakuwepo ila baadae yakawepo

Robertinho navyoona mimi distinct feature ya timu yake ni kupress anapenda wachezaji wapress kwanzia move ya kwanza ya mchezaji pinzani anapaoanza tu kupiga pasi basi utamuona namba 9 anaenda kumfata mchezaji pinzani na press inakua imeanza

Sasa kwanini hatuchezi pira biriani?

wakati tunapress ili effective pressing ifanyike inabidi mchezaji mmoja akae na mtu wake kwa sababu kwa njia hiyo unalazimisha makosa ya wachezaji wakosee kwa kupiga pasi za haraka bila ya muda wa kufikiri inshort unalazimisha mpinzani akupe mpira

Kila mfumo duniani una cons zake na pros sake

Hasara ya mfumo anaotumia Robertinho ni kwamba wachezaji wakati wanapress wanabidi waue structure yao kumfata mchezaji mmoja mmoja ili kufanya effective pressing sasa mpira ukipatikana na wachezaji tulionao mbele kwa sasa ni wachache wanaweza kupiga pasi za kueleweka so jamaa (coach) naona akaona ni ku counter attack so anachofanya ni kuwahisha mpira mbele na macross kibao magoli ya vichwa kwa sana

Kwanini tunaruhusu magoli sana?

Kutokana na pressing inabidi watu wakae na wachezaji wao wanapomiliki mpira so kapombe itabidi akae na winga na tshabalala hivo hivo so kama hampo makini kuziba namba za wenzenu wakitoka kumfata mchezaji inaweza kuwa madhara makubwa na kwasababu mnapress kwanzia juu mabeki wanakua mbali na kipa wao hiyo inawapa urahisi sana watu wenye kasi na wajanja wa kuvunja offside kufika kwa kipa

Mfano mzuri angalia magoli ya al ahly lile la yule slim na la pili la kusawazisha kule kwao misri
Pia angalia takwimu za offside za mechi zote mbili za ahly
Ukija bongo angalia magoli ya mtibwa msimu huu

Huu mfumo watu warefu wengi wataenjoy ndo maana bocco mnamuona anamuweka sana lakini ndo hivo bocco ameshapungua kiwango
Infact huu mfumo chama hatoshine sana kwa sababu ipo tofauti na profile yake ili pengine ashine labda acheze na onana na miqquisone kwenye ile 3 na juu yao akae phiri maana anacheza kama false 9 na ndo kinachopendwa na watu aina ya chama channel za pass ziwe nyingi watu wacheze karibu karibu
Nikimaanisha pia baada ya kupata mpira itumike slow build up maana ndo ita allow possesion na kuachana na fast build up na counter attacks mipira mirefu😁😁😁
 
IHEFU ndiyo tatizo kubwa. Bila IHEFU, Yanga na SImba wangekutana kwa nguvu sawa na mchezo ungekuwa mzuri sana lakini IHEFU iliweka gundu kwenye dulu za Yanga kuliko inavyoweza kukukubaliwa na Yanga yenyewe, jambo linaloifanya SImba kuingia kwenye mtanange ikiwa na ubabe.

Muuaji wa Yanga ni Ihefu.
 
 
If you possess the ball on your half field of the pitch you're crazy possession starts from your opponent half –jahan cruyff–

Kule tanga robertinyo aliwaacha mmiliki mpira na hakuna mlichofanya.
 
Reactions: BRN
dakika 90 sio nyingi tuwe wapole ila nakuambia yanga anashinda.
Yanga hana timu hata ya kutoa sare na simba hii ya Robertinho
Simba hii kufungwa sio sasa na nyinyi mnajua kilichobaki ni kujifariji tu ila ukweli mnaujua
 
Wananchi subirini kipigo!! Ukweli ni kwamba ukipokea kipigo hutakumbuka kuwa ulicheza mpira wa kuvutia!! kitakachotokea ni kununa!! Kumbukeni mgeni rasmi ni Kibu!!
 
Mkuu apo kwenye kupiga pas nyingi mbona unatudanganya takwim za wap izo mkuu [emoji38][emoji38] mpira n mchezo wa waz bana wote tunaangalia
 
Wananchi subirini kipigo!! Ukweli ni kwamba ukipokea kipigo hutakumbuka kuwa ulicheza mpira wa kuvutia!! kitakachotokea ni kununa!! Kumbukeni mgeni rasmi ni Kibu!!
Iyo mgen rasmi n kibu maana yake ni Kibu dei au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kuongezea Simba ndiyo iliyomiliki mpira zaidi
ya Al Ahly katika mechi zote mbili!! Ndyo ya kutishiwa nyau na vibonde wa Ihefu?
 
If you possess the ball on your half field of the pitch you're crazy possession starts from your opponent half –jahan cruyff–

Kule tanga robertinyo aliwaacha mmiliki mpira na hakuna mlichofanya.
Nyie mlifanya nn zaidi ya kipa wenu kudaka penati za mba mba mba, mpira hata haujapigwa mtu kashatoka kwenye mstari [emoji1]
 
Nyie mlifanya nn zaidi ya kipa wenu kudaka penati za mba mba mba, mpira hata haujapigwa mtu kashatoka kwenye mstari [emoji1]
Sawa siku ile ya kibu Denis robertinyo aliwakosa goal kama 10 pale taifa clear chances kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…