Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Italia kama wawili mpaka sasa wana kadi za njano mbili na hawatacheza nusu fainal in case wakiingia,mtelezo kwa Iceland ama France
 
Hawa Wajerumani waangalie sana, yaani Italy wakiwafunga ndio mchezo umeisha!!
 
Hapo watakao amua ni goalkeepers
mkuu humwoni mjerumani anavyohaha apate bao ndani ya hizi dakika zilizobak? anajua akifka matuta habar imeisha. na mrumi anachofanya anambembeleza jamaa aende matuta akamchinjilie mbali, hahaha #mpira techniq
 
Mmnh Germany wee
 
Game ipo tight na kila timu inajitahidi kwenda kwenye matuta.

Italy bado hawajafanya mabadiliko! oh No hold on, Italy sasa wanafanya mabadiliko.

Lorenzo Insigne anaingia badala ya Eder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…