Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu ndo walivyo..Wabaguzi sana na huwa blacks wanawaokoa sana.Pogba aliposababisha penalt,siku walipocheza na Ireland ,yaani alitukanwa sana,sipati picha wangefungwa
Hapo watakao amua ni goalkeeperswakiruhusu kufka matuta, ujerumani lake begi.
Neure kwenye matuta huwa namuona kama pazia la saluni za kike.Hapo watakao amua ni goalkeepers
Kwa kweli kwa beki mzoefu kama yule kuruka kama ana cheza volleyball wacha wamtukane
Mmnh ngoja hii extra iishe tutajuaNeure kwenye matuta huwa namuona kama pazia la saluni za kike.
hahahaNeure kwenye matuta huwa namuona kama pazia la saluni za kike.
Pogba aliposababisha penalt,siku walipocheza na Ireland ,yaani alitukanwa sana,sipati picha wangefungwa
mkuu humwoni mjerumani anavyohaha apate bao ndani ya hizi dakika zilizobak? anajua akifka matuta habar imeisha. na mrumi anachofanya anambembeleza jamaa aende matuta akamchinjilie mbali, hahaha #mpira techniqHapo watakao amua ni goalkeepers
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanatunyima uhondo tu,maana bora zamani hatua zilikuwa zinaicanceli kadiIla jamani hii sheria ya sasa ya kama una kadi 2 za njano hata kama michezo haijafuatana inaboa sana.
kama wamchangani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyu dogo nime muona ni jinga sanaa
Mmnh Germany weemkuu humwoni mjerumani anavyohaha apate bao ndani ya hizi dakika zilizobak? anajua akifka matuta habar imeisha. na mrumi anachofanya anambembeleza jamaa aende matuta akamchinjilie mbali, hahaha #mpira techniq
umeona eeeh,yaani wamesahau kama mechi ya kwanza kabisa kwenye makundi Boateng aliwaokoa sana,yaani aliokoa goal la wazi kabisa