Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Hahaaaa..Wakamtenda vilivyoKocha wa England nae anaitwa Hodgson alivyoona hayo majina akafikiri ni wenzake hahaa
Naona leo Pogba kalikamia sana gamePogba 2-0 France
Kuna mkuu aliulizia uchezaji wa Paul Pogba humu.
France wananifuta machozi Leo maana hawa Iceland walitutoa hahahaHatuwezi toka kizembe .... leo tuko na nguvu poa [emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12]
Naona leo Pogba kalikamia sana game