Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mechi ya Jana ineniuma saana [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Cna hamu na euro tena
 
Chama la wana Iceland [emoji17] [emoji17] [emoji17]

#TeamFrance kama kawa [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
#Dabnation
 
Leo kama wengine tutalala mapema hivi!! Hawa Wafaransa ninaona wameamua kumaliza game mapema !!
 
Nafikiri hili goli la pili litazima jitihada za Iceland kurudi kusawazisha.

Camon Iceland!
 
Hatuwezi toka kizembe .... leo tuko na nguvu poa [emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12]

1fe7f28d6f7045f7ab9c1b32713d4d39.jpg
France wananifuta machozi Leo maana hawa Iceland walitutoa hahaha
 
France ndiyo mabingwa nilitabiri toka siku ya ufunguzi.

Sijaelewa wafaransa wana maoni gani juu ya timu yao maanake kati ya wachezaji 23 wale 12 ni wenye asili ya Afrika.
 
Naona leo Pogba kalikamia sana game

Na kama akifunga zaidi basi "price tag" yake itabadilishwa.

Paul Pogba, Kart Zouma na Samuel Umtiti walicheza football ya uhakika mwaka 2013 France ilipokuja kunyakua kombe la Euro 2013 kwa vijana chini ya miaka 20.

Mzee AF alikosea sana kumtoa pale OT wakti ule, ooops! Herera asije akaona hii.
 
Back
Top Bottom