Chichemi wanafungwa last min. dot.com tuangalie ijayol[emoji1] [emoji1] [emoji1] Vip umewaona sasa
Wenger sign him up
Kwani ulikosa machi za kuangalia mpaka uangalie England. Kuchangia ina maana unawapenda na unaumia wakipigwa. Ungeongelea jinsi Russia wanacheza kwenye ligi na jinsi wamecheza leo ningejua unafuatilia ligi za warussi. Je kwa nini hujui timu zao? Jibu una mahaba na timu za England Point.as i said #england ni timu ya magazeti wanapambwa sana na vyombo vyao vya habari huez mwacha mtu kama #drinkwater kwanza jamaa ndo anahitaji kutoka angepga mpira wa nguvu sana then hawa jamaa wanaitaji #kocha toka nje aje awape mbinu mpya tatzo wakiwafunga #sanmarino 7 vyombo vya habari vinawapamba balaa akitoka michuano mikubwa akikutana na #wakali nothing...
Breaking news. Sky sasa hivi warusi wapo wanawapiga waingereza. Moto unawaka kama una DSTV utashangaa jinsi mchezo ulivyoguka kilioKuwawekea dhamna England ni sawa na kusubiria treni ya kwenda Zanzibar!!
Wenger sign him up
mtaani au?Breaking news. Sky sasa hivi warusi wapo wanawapiga waingereza. Moto unawaka kama una DSTV utashangaa jinsi mchezo ulivyoguka kilio
Mtu na kaka yake Taulant na Granit Xhaka wakipambana uwanjani- Picha na Reuters.
Wazazi wa ndugu hao mama mwenye fulana nyeusi na baba mwenye shsti la blue na dada yao walitazama mtanange.
Kuwawekea dhamna England ni sawa na kusubiria treni ya kwenda Zanzibar!!
infact ni mpenzi wa mpira na sio mshabiki #russia kule kuna zenit,cska,locomotiv moscow,anzi makhachakala nk #waingereza ubishoo umewazidi nakumbuka worldcup ya #southafrica walipambwa mwishowe wakatoka #kapa na leo #mrusi hakupewa nafas sana kama waingereza then #russia na #uk ni tofauti baada ya #soviet kuvunjka kila nchi ikaanza kuunda timu yake anza na serbia,croatia,czech republic,bosnia nk tofauti na waingereza wapo tangu na #tanguKwani ulikosa machi za kuangalia mpaka uangalie England. Kuchangia ina maana unawapenda na unaumia wakipigwa. Ungeongelea jinsi Russia wanacheza kwenye ligi na jinsi wamecheza leo ningejua unafuatilia ligi za warussi. Je kwa nini hujui timu zao? Jibu una mahaba na timu za England Point.
Wales hawana mido wakubwa kwa maumbo kama wa Russia!Akina Kokorin na akina Mamav ni wakubwa sana kwa miili!England itatawala kiungi na Wales na wana nafasi kubwa ya kushindaEngland watakuwa na wakti mgumu sana watakapocheza na Wales.
Xhaka vs Xhaka [emoji123] [emoji123] [emoji123]
England too much wasteful
Wanahitaji nafasi 10 za wazi wafunge bao 1!
Wasio jua mpira wataiona kama England ndiyo imecheza soka lkn sisi wataalam tunaioa credit Russia kama ndiyo wamecheza soka!
Russia walikuwa wanajua wanachofanya na wala sikushangaa walipo sawazisha!