hahahahaah,itakuwa swaumu inawasumbua hawaWauza Döner Kebab tayari wamekaa bao 2. Kuna uwezekano wakapigwa game zote 3 Hawa. Afadhari maana wakishinda hata mechi ya kirafiki tu kelele mtaani hakulaliki nyau Hawa. Leo kimya na bendera zao kama za waganga wa kienyeji
#Uturuki enzi za akina #hassan Sas #hakan Sukur #Mansiz #Rustu walikua wanapga mpira wa shoka hawa Akina #Turan wauza sura tuu
nakumbuka #worldcup ya 2002 brazil anamfunga #uturuki kwa shda goli la #ronaldo #dochi leo uturuki kawa nyanya #politica instability inawamaliza #galatasary #fenerbanche nazo zinapoteaMan, Uturuki sasa hivi hata ligi yao sio kama ya Enzi hizo.
nakumbuka #worldcup ya 2002 brazil anamfunga #uturuki kwa shda goli la #ronaldo #dochi leo uturuki kawa nyanya #politica instability inawamaliza #galatasary #fenerbanche nazo zinapotea
Waarabu wamepagawa,yanaweza fika saba sasa,ila mechi ya Croatia na Spain itakuwa tamu sana,ila tatizo wanaweza wasicheze viwango ,maana watakuwa wote wameshafuzu
#Uturuki enzi za akina #hassan Sas #hakan Sukur #Mansiz #Rustu walikua wanapga mpira wa shoka hawa Akina #Turan wauza sura tuu
Duhhh Spain wanaua mtu mapema mapema
walikua wanajua wajibu wao bana #mansiz anawaua senegal ya akina #fadiga chini ya kocha mfaransa marehemu #Bruno Metsu weka mtu #umit davala sio akina #turan leo hakuna utaifa tena wamepata #pesa wakina wadogo sanaMkuu umenikumbusha mbali mno hawa wachezaji walikuwa hatari sana
Naona mambo si mabaya naona ni Barca imetawala tu..... mi napenda Timu mbili Achukue France au Spain. .....kwa mbaali na England nao ila naona duhhh....Eva mambo? Mpaka sasa Barca tunaongoza 3, au wewe upo upande wa Ordogan?
Hispania sidhani kama watamfunga Croatia
mechi itakuwa ngumu kama wote watacheza kwa nguvu ili kuwania kuongoza kundi,maana kama ni kupita wote washapita,ila Espana mwaka huu wana hasira naona wanakumbuka machungu ya Brasil 2014Croatia ni wazuri sana, lkn watakaa tu hawa jamaa
Kesho namsubiri Ronaldo,maana mpaka sasa alishafunikwaMorata anatisha ......
Yuko vizuri sana!!Morata anatisha ......
Naona mambo si mabaya naona ni Barca imetawala tu..... mi napenda Timu mbili Achukue France au Spain. .....kwa mbaali na England nao ila naona duhhh....