Kukosa penalty ni kitu cha kawaida...nyie ndo wavamiz wa mpiraSamata=Ronaldo si kwa kukosa panalt kule huku taifa zima lamtegemea yeye,ndo shida ya kumtegemea mchezaji mmoja
Lakin ndo all time top scorer wa urenoRonaldo huwa ni wa kawaida sana kwenye timu ya taifa
Wanaenda kuaibika huko mbeleniHawa watoto wa malkia wanaongeza timu zifike 16 knokout stage
Itali wapo safi sanaaaItaly wamekushawishi vipi mkuu?
niliwa-underrate kabla ya tournamentItali wapo safi sanaaa
Na wana chemistry nzur xn uwanjan
wamo wametoka 0-0#Sijafuatilia mipambano ya jana vp #watoto wa malkia bado wapo??
N tim nzur aseeeeniliwa-underrate kabla ya tournament