Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Slovakia kama kawa fanyeni usiku wangu uwe saaafi HAMSIK nikusanyie kijiji ...
 
Mara Slovakia katupia kamoja, na game ya Wales na Russia hivi hivi 2 bila, watoto wa malkia home bila ubishi, sisi Wales tunaongoza 2 bila dkk 43
 
ca7214dcffd949da55e4b114097499de.jpg

Mechi zote nazitaka halotel ahsanteni
 
Samata=Ronaldo si kwa kukosa panalt kule huku taifa zima lamtegemea yeye,ndo shida ya kumtegemea mchezaji mmoja
Kukosa penalty ni kitu cha kawaida...nyie ndo wavamiz wa mpira

Messi alikosa penalty UEFA semi final vs Chelsea..penalty muhimu kuliko ile aliyokosa Ronaldo
 
#Sijafuatilia mipambano ya jana vp #watoto wa malkia bado wapo??
 
Hii michuano japo kuna timu zinapewa nafasi, lakini kiukweli kitu chochote kinaweza kutokea. Tangu Greece walipochukua mwaka 2004, ndio nikajua usiidharau timu yoyote inayofikia kwenye hatua hii ya mtoano.
 
WTF is Ramos doing? He shouldn't take that penalty. Namuona hats direct kicks anataka apige yeye, he's just embarrassing himself. It was not a fare penalty, the way goalkeeper played it, should be retaken. Lakini Ramos anatakiwa aache kutafuta ujiko.
 
Back
Top Bottom