Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Daah, Lalana leo kaanzia nje? then Sterling kaanza, Mbele kamtupa Kane.! Hivi Hogson kafunga ndoa na Kane?

BACK TANGANYIKA
 
Yaani nashindwa kujua siku hiyo niwe upande upi?

Nitakuwa upande wa Italy, nataka nione Buffon kabla hajastafu Italy awe na medali ya uefa euro ukizingatia level ya klabu hajawahi kushinda uefa.
Hehehe
Niko German mkuu ila tukifungwa no stress
 
Haki ya mama,

Hawa Iceland siyo wazuri I swear..!! Na sasa natangaza wazi, England kaa chonjo Mlango wa kutokea ushafunguliwa..!!

BACK TANGANYIKA
 
Sturidge Bitozi saana anatakiwa pasi haraka na speed sio kuremba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…