Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Nilisema bora wangetoka kwenye makundi, sasa wanatoka kwa aibu na kitimu kisichojulikana kabisa
 
Hawa Iceland wangekuwa na skills za Poland wangekuwa wameshagonga 3-1
 
Hiki kitoto cha Manchester United kinataka nini? Kula muwa wa baridi
 
hahahahahahahahahahahahahahahaha Barafu limewakausha
 
Refa Mkristo,kapiga alama ya Msalaba,amina,amina,kamaliza salama
 
hahahahaha domo kuuuuuuuubwaaaaaaaaaaaaaaaaa afadhali hata Spain wametolewa na wanaojua mpira..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…