Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Hii game england wanaweza leta ile slogan yetu 'kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu kwa dondoo![]()
Meneja wa Russia Leonid Slutski sio mtu wa masihara.
Alipewa jukumu la kuinoa timu hiyo baada ya kuwa inafungwa sana kwenye michuano ya kufuzu na kumtimua Fabio Capello.
Tangu Slustski alipoanza kazi yake Russia ikashinda mechi zake zote nne na kufuzu kucheza Euro 2016 wakiwa washindi wa pili.
Dakika zimekwenda ni 26 goli ni 0-0
Kabisa Mpiga kona anatakiwa kuwa Lallana, Kane akipiga Kona kila mtu anajua kwajili ya Smalling huu mpira kwa namna Lallana anavyocheza alifaa Rashford na Sturidge mbele lasivyo sioni goli zaidi ya Hart kuja kufanya Hart anavyofanyaMpiga kona Kane halafu hapigi mpaka amuone smalling halafu unategemea kuchukua kombe
Ahsante mkuu kwa dondoo
Hodgson kabugi kabisa kumuanzisha kane bora hata angemuweka vardy ..... nadhani kwa rashford bado hajamuamini ukizingatia hii ni game yao ya kwanza ina presha kubwaKabisa Mpiga kona anatakiwa kuwa Lallana, Kane akipiga Kona kila mtu anajua kwajili ya Smalling huu mpira kwa namna Lallana anavyocheza alifaa Rashford na Sturidge mbele lasivyo sioni goli zaidi ya Hart kuja kufanya Hart anavyofanya
Eric Dier amejitahidi sana kuunganisha sehemu ya kiungo na washambuliaji lakini badi Harry Kane na Wayne Rooney bado hawajakaa sawa kuweza kufunga.
Dakika inakwenda ya 35 goli bado ni 0-0
miaka 1000Mpiga kona Kane halafu hapigi mpaka amuone smalling halafu unategemea kuchukua kombe
True beki za Russia ukipeleka mbio na ubavu freekick zipo tatizo England mpira wao wa kutabirika unajua nani atampa nani......Hodgson kabugi kabisa kumuanzisha kane bora hata angemuweka vardy ..... nadhani kwa rashford bado hajamuamini ukizingatia hii ni game yao ya kwanza ina presha kubwa
Delle Alli nae kapoteaEric Dier amejitahidi sana kuunganisha sehemu ya kiungo na washambuliaji lakini badi Harry Kane na Wayne Rooney bado hawajakaa sawa kuweza kufunga.
Dakika inakwenda ya 35 goli bado ni 0-0
Mkuu kazi inayofanywa leo na Rooney ni kama kijana wa miaka 19 hivi..
Jamaa yuko Mid zaidi, kila kona ya uwanja unamona, pasi anazotoa leo ni copy and paste ya Scholes, Jamaa anapafom inavyostahili kabisa.
Sema Kane anashindwa kukaa kwenye posetion nzuri ya kufunga,anajisahau sana kiasi anaingia mpaka kwenye Kiungo. Msitu wa Viungo karibu watano wanaomuangalia anaona kama haumtoshi!! anahangaika hangaika tu bila mwelekeo.
Rooney na Lalana my best preyers kwa dk hizi 45
BACK TANGANYIKA