Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

75c1b899-2972-4364-8464-6716bba0e82f.jpg

Meneja wa Russia Leonid Slutski sio mtu wa masihara.

Alipewa jukumu la kuinoa timu hiyo baada ya kuwa inafungwa sana kwenye michuano ya kufuzu na kumtimua Fabio Capello.

Tangu Slustski alipoanza kazi yake Russia ikashinda mechi zake zote nne na kufuzu kucheza Euro 2016 wakiwa washindi wa pili.

Dakika zimekwenda ni 26 goli ni 0-0
Ahsante mkuu kwa dondoo
 
Eric Dier amejitahidi sana kuunganisha sehemu ya kiungo na washambuliaji lakini badi Harry Kane na Wayne Rooney bado hawajakaa sawa kuweza kufunga.

Dakika inakwenda ya 35 goli bado ni 0-0
 
Kona kwa England inapigwa na Kane lakini inapotea na kipa wa Russia anadaka.

Pale nyuma kwenye safu la ulinzi ya Russia kuna beki mshahara na mkongwe Sergei Ignashevic, ana umri wa miaka 36
 
Mpiga kona Kane halafu hapigi mpaka amuone smalling halafu unategemea kuchukua kombe
Kabisa Mpiga kona anatakiwa kuwa Lallana, Kane akipiga Kona kila mtu anajua kwajili ya Smalling huu mpira kwa namna Lallana anavyocheza alifaa Rashford na Sturidge mbele lasivyo sioni goli zaidi ya Hart kuja kufanya Hart anavyofanya
 
Hodgson kabugi kabisa kumuanzisha kane bora hata angemuweka vardy ..... nadhani kwa rashford bado hajamuamini ukizingatia hii ni game yao ya kwanza ina presha kubwa
 
Eric Dier amejitahidi sana kuunganisha sehemu ya kiungo na washambuliaji lakini badi Harry Kane na Wayne Rooney bado hawajakaa sawa kuweza kufunga.

Dakika inakwenda ya 35 goli bado ni 0-0

Mkuu kazi inayofanywa leo na Rooney ni kama kijana wa miaka 19 hivi..

Jamaa yuko Mid zaidi, kila kona ya uwanja unamona, pasi anazotoa leo ni copy and paste ya Scholes, Jamaa anapafom inavyostahili kabisa.

Sema Kane anashindwa kukaa kwenye posetion nzuri ya kufunga,anajisahau sana kiasi anaingia mpaka kwenye Kiungo. Msitu wa Viungo karibu watano wanaomuangalia anaona kama haumtoshi!! anahangaika hangaika tu bila mwelekeo.

Rooney na Lalana my best preyers kwa dk hizi 45

BACK TANGANYIKA
 
Mpira ni half-time na goli ni 0-0

England hawajaweza kuifunga Russia kirahisi.

Itabidi kufanya mabadiliko kama wanataka kushinda hii game.
 
England bora wafungwe tu wakapigane na polisi vizuri huko mitaani. Wako Bordeaux, ni mji mzuri kuna warembo wa hatari lakini hawa pombe wanaleta fujo. Bora watolewe tu
 
Hodgson kabugi kabisa kumuanzisha kane bora hata angemuweka vardy ..... nadhani kwa rashford bado hajamuamini ukizingatia hii ni game yao ya kwanza ina presha kubwa
True beki za Russia ukipeleka mbio na ubavu freekick zipo tatizo England mpira wao wa kutabirika unajua nani atampa nani......
 
Mkuu kazi inayofanywa leo na Rooney ni kama kijana wa miaka 19 hivi..

Jamaa yuko Mid zaidi, kila kona ya uwanja unamona, pasi anazotoa leo ni copy and paste ya Scholes, Jamaa anapafom inavyostahili kabisa.

Sema Kane anashindwa kukaa kwenye posetion nzuri ya kufunga,anajisahau sana kiasi anaingia mpaka kwenye Kiungo. Msitu wa Viungo karibu watano wanaomuangalia anaona kama haumtoshi!! anahangaika hangaika tu bila mwelekeo.

Rooney na Lalana my best preyers kwa dk hizi 45

BACK TANGANYIKA

Sawasawa kabisa, Rooney, na Lallana wanacheza kama wakiwa kwenye timu zao na wana-enjoy kuucheza mpira kwa uhuru Zaidi.

Kane anacheza kama akiwa Tottenham lakini anasahau kwamba yupo kwenye Euro 2016 na anatakiwa atumie vizuri nafasi zinazotafutwa na Wayney Rooney na Adam Lallana.
 
Back
Top Bottom