Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sista ee hapo hakuna timu ngumu, portugal kapewa vibonde lkn kashindwa kutamba pamoja na jamaa yao kuwemo😛
Ronaldo huwa ni wa kawaida sana kwenye timu ya taifa
tena mmoja ya wanaume wabakaji kwenye mashindano haya wangepangwa humo hakika wageondoka na point 9 zote
hapa ulimaanisha nini?Mkuutena mmoja ya wanaume wabakaji kwenye mashindano haya wangepangwa humo hakika wageondoka na point 9 zote
hapa ulimaanisha nini?Mkuu
umeeleweka sasanamaanisha zile timu zenye njaa ya mafanikio kwenye makundi mengine mfano italy au germany machine angechukua point zote tisa
namaanisha zile timu zenye njaa ya mafanikio kwenye makundi mengine mfano italy au germany machine angechukua point zote tisa
umeeleweka sasa
Payet anakosa goli hapa ,dah acha tu
Mechi na Slovakia kama nilivyo tarajia isipokuwa bado kambakiza kipa Hart!Toa kipa huyu weka Forster
Mabeki wote wa pembani wa England ni mzigo,hawaendi mbele na move na hata wakienda end product yao sio nzuri!Kesho wanaanza Clyne na Betrand
Dele Ali na Rooney hawana kasi,hata kama inafanywa counter attack wao wapo nyuma!Kesho wanaanza Henderson,Dier na Lallana
Mbele Vardy na Dan wanaanza ambao SORRY Kane na Sterling watupishe tu
Ushasahau alivyoibeba timu yke kufuzu kombe la dunia vs sweden playoffRonaldo huwa ni wa kawaida sana kwenye timu ya taifa
Englatera HAWEZI fungwa na Slovakia ktk decisive game kama hii!#Leooo....England points 4...#Wales 3 #Slovakia 3 Russia 1...England vs Slovakia..Wales vs #Russia..mtoto wa #malkia hatihati kama namuona #hamsiki katupia cha kwanza na kule #Bale katupia cha pili naona #Rooney kashika tiketi yake ya #British airways pale airport...daa game za leo #tamuuu
England wazuri sana tatizo ni kocha HAJUI kazi yake!!Knock out stage jamaa watakuwa na kazi kubwa sana ya ku-prove kwa mashabiki wao kwamba timu Yao Ni nzuri. Hatua hile hakuna kufanya mistake hats moja.