Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Tuombee tushinde ili upate offerNasoma hiyooooo
2:0 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiii ni zaidi ya Lugha gongana.Sawa kabisa,lazima sisi Wapenzi wa JS Saoura tutoke na ushindi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka. Lol. Pole sana.
Kwa game ya kesho kuteseka lazima.
Ila mna roho ngumu kila siku mnabadili timuKwa game ya kesho kuteseka lazima.
Uuwiii. Mambo huwa ni fresh mkicheza na Yanga sababu ya ndumba ndumba. Kwa waarabu hilo sahauni.
ππππYote maisha mkuu..Hasara ngapi tumepitia!
SimbaNguvuMoja. SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Vice versa is true. ππππMwarabu tunampiga 2-0
Eeeewaaaaaa.
Mnaifatilia Simba mpk hamjui lini yanga anachezaHahahaaa. Vice versa is true. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahaaaa. Haya waliyaweza kina steve lialia.
Usijali nitajitutumua ili mradi ufurahie ushindi wa SimbaaaaHahahaaaa. Haya waliyaweza kina steve lialia.
Hiyo Offer kama ipo iweke tu mtakaposhinda unipatiemo tu. [emoji85][emoji85][emoji85]
Hahaaa. Ila kakupatia sana yaani.
Mi wala sina tabu. Nahama tu. ππ
Aaah. Wapi.
π€£π€£π€£ tunaachaje kujua sasa.
Tukishachukua ndoo haina budi lazima mtushobokeeAaah. Wapi.
Labda acheze peke yake. [emoji3][emoji3]