Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya JS Saoura, Injinia Soma hiyoooo!!

W' salaam..mtani utabiri wangu kama nilivyootea eeeeh. Sasa mbona safari hii hujaniambia

Nakupitia Twende Serena Hoteli, tayari kwenda Dimbani, achana na hao kwa muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Uuuwiiii. Nilisahau bana pole.

Twende tu Mtani japo ntaumbuka pale Waarabu wakipata bao. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Humu ndani kuna kelele za vyura sana labda hawa vyura wamesahau kwamba kelele zao hazimtishi wala kumzuia Mfalme wa nyika SIMBA SC kumtafuna js sauda

Simba nguvu moja
Mtani umechapia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haya hebu rekebisha kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…