Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Aya lini anacheza na timu ipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaachaje kujua sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya lini anacheza na timu ipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaachaje kujua sasa.
😀😀😀 sawa
Ndoo ipi?
January 15 na Mwadui. 🤣🤣🤣 " i think so" 🙈🙈
Huna uwakika ila mechi ya kesho una uwakika nayoJanuary 15 na Mwadui. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] " i think soo" [emoji85][emoji85]
Hahahaaaa. Ukaribu nao ndio sababu hivyo nayo ikikaribia nitaijua tu.
Utachoka tu.. Sisi ni habari nyingine!Sioni tabu kuhama hama mwaka huu.
Kila la Kheri Js Soura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
A'aleykum Mtani!
Mkuu Frank wanjiru, nakukatia tiketi mtani. kesho tujumuike Taifa ushuhudie soka la kimataifa, karibu sana uache kutuwangia
Hahahaaa. Wala sichoki.
Uuuwiiii. Nilisahau bana pole.W' salaam..mtani utabiri wangu kama nilivyootea eeeeh. Sasa mbona safari hii hujaniambia
Nakupitia Twende Serena Hoteli, tayari kwenda Dimbani, achana na hao kwa muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani umechapia. 😂😂😂😂 Haya hebu rekebisha kwanza.Humu ndani kuna kelele za vyura sana labda hawa vyura wamesahau kwamba kelele zao hazimtishi wala kumzuia Mfalme wa nyika SIMBA SC kumtafuna js sauda
Simba nguvu moja
Nishaandaa kila kitu ikiwemo Jezi ya JS Saoura,kesho Mikia kipigo kipo pale paleTiketi ya platinum tayari ninayo mkononi, kesho lzma waarabu wakae, Frank wanjiru nipo tayari mkuu kukupa tiketi karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijachapia mtani nimekusudia kuandika hivyo karibu chama kubwa Simba sc kwa mkopo wa siku moja tu ya keshoMtani umechapia. 😂😂😂😂 Haya hebu rekebisha kwanza.
Hauna dawa2 ww, laiti kama ungekua mchawi mwenye Dawa tungepata tabu sana, kwa roho yako iyo hta Juma Njemba asingekufikia,Nishaandaa kila kitu ikiwemo Jezi ya JS Saoura,kesho Mikia kipigo kipo pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app