- Thread starter
- #21
Iran chakavu ambayo wayahudi wanaingia na kutoka na kuua wairan na yeyote wamtakaye kama panya ndo itoe kipigo kwa Israel,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa kulikoni kumkumbilia babu wa watu kwa ulinzi hata aache kucheza na wajukuu zake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran chakavu ambayo wayahudi wanaingia na kutoka na kuua wairan na yeyote wamtakaye kama panya ndo itoe kipigo kwa Israel,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa kulikoni kumkumbilia babu wa watu kwa ulinzi hata aache kucheza na wajukuu zake?
Kama hiyo Israel inavyopewa kiburi, unadhani Iran haina?Iran chakavu ambayo wayahudi wanaingia na kutoka na kuua wairan na yeyote wamtakaye kama panya ndo itoe kipigo kwa Israel,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sipati picha siku Ayatollah Khamenei atakaposhughuliwa sijui itaandika nini!Kwani humwoni anayelia lia? Kulikoni kuhitaji kukingiwa kifua? Si akinge cha kwake kama kidume?
wayahudi wana akili, pesa, teknolojia, na wanaendesha dunia, huwezi wafananisha na hao waajemi chakavu ambao badala ya kuiendeleza nchi yao wamebakia kuwa magaidi.Kama hiyo Israel inavyopewa kiburi, unadhani Iran haina?
Hayatollah mwenyewe anaishi kwenye mahandaki saa hizi maana rais, haniya na wengine kibao wameuwawa na myahudi kama mbwa tena ndani ya IranSipati picha siku Ayatollah Khamenei atakaposhughuliwa sijui itaandika nini!
We endelea kuota US hawezi ingia vita na Iran, hana ubavu huo kwa sasa atakacho fanya ni kumlinda tu Israel.Kuna mtu anategwa ajae mzima mzima aangukiwe na papa(USA)
Ila huyu alipigwa sikio ndiyo mwamba aishie ghorofani?Hayatollah mwenyewe anaishi kwenye mahandaki saa hizi maana rais, haniya na wengine kibao wameuwawa na myahudi kama mbwa tena ndani ya Iran
naona wairan wako wanafanya mazoezi makali mnoo ya kuipiga israel🤣😂😆👇👇Ila huyu alipigwa sikio ndiyo mwamba aishie ghorofani?
Unadhani Natenyahu hashindi kwenye bunker?
Vimbwanga vya dunia.Vita si kula ubwabwa mkuu. Hata hiyo USA, juzi tuliona. Nani alitegemea raisi mstaafu angefanyiwa alichofanyiwa? Na ni kweli unadhani alikoswa? Au tu lilikuwa fundisho,muone kwamba hakuna lisilowezekana! Sniper,akose,kwenye mita 150(inavosemekana)toka umbali wa tageti ? Hivi,huo ujasiri,unaufikilia? Siku hizi,wanaomuanimi Mungu labda,wao ndo waseme ni muweza. Vingine vyote,takataka tu
wanasema hivyohivyo ili iran apeleke kichwa chote, afu wao wanakuja wanakikata moja kwa moja. juzi waziri wa ulinzi alisema wazi, ukipiga israel tutaisaidia kukupiga, na biden umri wake umeenda, kila anachosema wala anachotaka kufanya hakizingatiwi, akili yake kama imeruka kidogo kwa uzee.Hayakuwa mazungumzo bali kufokewa kama mtoto mdogo, kwenye kuambatana na kupewa maelekezo:
View attachment 3059955
Majibu ya Natenyahu: "nimekosa mimi. Nimekosa sana. Nimekosa baba." Yobbo style.
Transcript nzima kama ilivyo, hapo post #2.
Israel bila emericana ni Mafi tu.
Story za vilinge vya gahawa hivyo baada ya kutoka masjid.Kwani humwoni anayelia lia? Kulikoni kuhitaji kukingiwa kifua? Si akinge cha kwake kama kidume?
Ndio mlichojadiliana kwenye swallat al fajri hiko. Jamaa anawavua nguo sana nyie wayeman na waarabu wa Mtongani."Israel bila Marekani ni mchumba tu." Alisikika mwisrael mmoja akijisemea.
naona wairan wako wanafanya mazoezi makali mnoo ya kuipiga israel🤣😂😆👇👇View attachment 3060016
Hahaaaaaa hao wa Iran hata Burundi hawawawezi.😀😃😄😁😆naona wairan wako wanafanya mazoezi makali mnoo ya kuipiga israel🤣😂😆👇👇View attachment 3060016