Kuelekea kipigo cha mbwa Koko, Biden amfokea Natenyahu

Kwamba una majina mia hiyo ituhusi sisi nini wengine ndugu?

Nendeni shule kusoma kujua tofauti za kuandika public na direct.

Ukiweka utumbo hapa tukikustahi twakuambia.

Kama hupendi, kwani majukwaa yenu umeyapotea njia?
dogo kwani jamii forum ni ya wakristo, afu kwetu wapi hebu niambie bwege nini wewe.
 
Nenda kauze machungwa kule soko mjinga Tabora, we unajua nini wewe. Israel bila ya US, Western na hizi nchi za kiarabu Jordan. Saud Arabia , Egypt, UAE, Bahrain na Morocco asinge baki hapo hata siku moja hao ndio wanamlinda.

Iran umfaninishe na uharo we hutazami US na UK ndio wako huko kumlinda 😄

Oops!

Kumradhi ndugu nilidhani napambana na jamii ya MK254 sikuwa nimekusoma vyema.

It was a failure on my side; an oversight; indeed a terrible mistake!

My sincere regret.
 
dogo kwani jamii forum ni ya wakristo, afu kwetu wapi hebu niambie bwege nini wewe.
Kumradhi ndugu friendly fire siyo myth.

Nimerejea kujiridhisha. Tunaandika mengi at times emotions run high.

Makombora yale yalitoka kwangu kuja kwako kimakosa.

A terrible oversight.

Nimeya retrieve retrospectively.
 
Oops!

Kumradhi ndugu nilidhani napambana na jamii ya MK254 sikuwa nimekusoma vyema.

It was a failure on my side; an oversight; indeed a terrible mistake!

My sincere regret.
Yule MK254 ni bwege sana, mimi siku hizi sina time naye, yule ni mfanya kazi kwenye nyumba za wazungu pale mombasa huoni kakaa kishoga shoga 😄
 
Kale ka Nchi bila USA ni mavi ya panya 😁😁
Kamekaa kama bibilia mara Yesu ni Mtume mara Mungu mara mtoto wa Mungu 😄 ndio hako kataifa teule, aliye piga Yemen ni US na UK kwenye yale matank ya mafuta kakajidai kenyewe, vita anapigana US na UK na France kanajidai kenyewe. Kakipeleka ndege au drone basi ni US ndio kakambia kapige sehemu flani. Afu vinakuja vijamaa vya aliye kosa nyumba kaishia chini ya mti kumsifu Israel 😄
 
Yule MK254 ni bwege sana, mimi siku hizi sina time naye, yule ni mfanya kazi kwenye nyumba za wazungu pale mombasa huoni kakaa kishoga shoga 😄

Mkuu nakushukuru sana kwa kunielewa. Nitachukua muda zaidi na zaidi kujiridhisha ilikuwa je.

"Kwa kweli imeniuma mno indeed to the core."

Huyo MK254 nadhani hatimaye kakutana rungu la mods. Haipo shaka kuwa psychosis inaweza kuwa inamhusu.

Hayupo mwenye kuweza kuuhalalisha kwa namna yoyote unyama usiokuwa na sababu wa mwisrael mashariki ya kati.

Hii kwa hakika pasipo na kujali mafungamano yoyote ya kidini au kiitikadi.
 
Kamekaa kama bibilia mara Yesu ni Mtume mara Mungu mara mtoto wa Mungu 😄 ndio hako kataifa teule, aliye piga Yemen ni US na UK kwenye yale matank ya mafuta kakajidai kenyewe, vita anapigana US na UK na France kanajidai kenyewe. Kakipeleka ndege au drone basi ni US ndio kakambia kapige sehemu flani. Afu vinakuja vijamaa vya aliye kosa nyumba kaishia chini ya mti kumsifu Israel 😄

Gharama aliyolipa mpalestina hadi sasa ilikuwa inatosha kwa nchi za kiarabu kutambua ilikuwa hakuna muda bora kama huu wa kumfunza adabu mwisrael sasa once for all.

Hata tishio la wote tu kumkabili kwa umoja wao bila ya kumsikiliza tena Marekani lilikuwa linatosha mno kuwa na suluhu yao ya kudumu.

Tatizo kuu, vipi busara kuwa dhahiri kwa kila mtu?
 
Tatizo watu wa madrassa kingereza hamjui hivyo mnajiandikia tu ili kutuliza jazba zenu. Bure kabisa.
 
Gharama aliyolipa mpalestina hadi sasa ilikuwa inatosha kwa nchi za kiarabu kutambua ilikuwa hakuna muda bora kama huu wa kumfunza adabu mwisrael sasa once for all.

Hata tishio la wote tu kumkabili kwa umoja wao bila ya kumsikiliza tena Marekani lilikuwa linatosha mno kuwa na suluhu yao ya kudumu.

Tatizo kuu, vipi busara kuwa dhahiri kwa kila mtu?
Waarabu walishajitambua na kukiri kwamba Israel wana haki ya kujilinda kwani ardhi ni yao na wametambua kwamba hawana sababu ya kufia kwenye deni la wapalestina.
 
Ni wale mkikutana nao kwa kiboko ya wachawi kabla hamjafurushwa ndiyo waliokwambia hayo?
 
Hayo unayoongea ni tofauti sana na uhalisia. Kama unafuatilia siasa za marekani utagundua kuwa sio leo wala kesho USA itamtupa Israel. Angalia mfano, mme wa Harris Kamala ni myahudi, anayetatajiwa kuwa mgombea mwenza wa Harris , Gov Shapiro ni myahudi, tena anaye practice dini ya kiyahudi. Na upande wa Republican ndio kabisa sapota wakuu wa ISRAEL. Sasa hapo inakuwaje? Sapoti kwa Israel ni kete kubwa sana kwa wanasiasa wa marekani.

Netanyahu anajua huu ndio wakati wa kufanya atakavyo maana anajua sapoti ipo tu. Watake wasitake. Nawaonea huruma maadui wa Israel.
 
Hakuna ninapoongea zaidi ya kuweka nukuu halisi za rais wa marekani.

Kwamba Kamala ni myahudi si ni sawa na kusema Obama ni mkenya au Rishi Sunak ni mhindi?

Looh!

Elimu, elimu, ninakazia elimu!
 
Back
Top Bottom