Kuelekea kipigo cha mbwa Koko, Biden amfokea Natenyahu

Hayakuwa mazungumzo bali kufokewa kama mtoto mdogo, kwenye kuambatana na kupewa maelekezo:

View attachment 3059955

Majibu ya Natenyahu: "nimekosa mimi. Nimekosa sana. Nimekosa baba." Yobbo style.

Transcript nzima kama ilivyo, hapo post #2.
Mkiambiwaga US inaendeshwa na Israel msiwe mnakaza fuvu umeelewa? haya soma hapo chini kwenye link kutokea TV lenu la kigaidi halafu linganisha na ulichofurahia kukipost,

Wenye dunia yao wanamsubiri mwali binti mchafu muiran kwa hamu sana hapo bado UK, na wengine n infact waarabu wenye akili kama jordan washasema chochote cha muajemi kikipita kwenye anga yako kinatunguliwa shubaaamit.

Israeli navy says it completed test of LRAD long-range defence system​

The Israeli navy completed this week a successful test of the LRAD long-rang interceptor, which is meant to take out a variety of threats, including cruise missiles and rockets, the military has said.
The test was carried out with Israel on high alert for possible attacks from Iran and its allies in the region – in retaliation to the killing of Haniyeh in Iran and Hezbollah commander Fuad Shukr in Beirut.

Kumbe utegemezi ni nini kama hauji na haya?

IMG_20240802_220412.jpg
 
Mkiambiwaga US inaendeshwa na Israel msiwe mnakaza fuvu umeelewa? haya soma hapo chini kwenye link kutokea TV lenu la kigaidi halafu linganisha na ulichofurahia kukipost,

Wenye dunia yao wanamsubiri mwali binti mchafu muiran kwa hamu sana hapo bado UK, na wengine n infact waarabu wenye akili kama jordan washasema chochote cha muajemi kikipita kwenye anga yako kinatunguliwa shubaaamit.

Anayeendesha ni huyu kwenye mbeleko mgongoni hapa?

IMG_20240802_220412.jpg
 
Ndio mlichojadiliana kwenye swallat al fajri hiko. Jamaa anawavua nguo sana nyie wayeman na waarabu wa Mtongani.

Kwani huyu naye alikuwa kwenye hiyo swallat?

IMG_20240802_220128.jpg

Bila shaka unyonge huu wa kichumba chumba utakuwa umekukera vilivyo.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Israel ina icontrol marekani. Ndiyo inayofanya maamuzi US. Wanawezaje kujikataa. Ikija suala la usalama wa Israel Hakuna democrat wa Republican. Hakuna namna marekani inaweza jiweka pembeni.

Msifurahie vita.
Irani ikijichanganya Itagundua kumbe Jehanam ipo Duniani pia. Kama unakumbuka Netanyahu alipohutubia congress alisema we want to finish this busness . Wakati wanaanza kuivamia Gaza alisema tunataka tuibadilishe kabisa.

Jiulize unaweza kuimaliza kazi huku hasimu anaeanzisha prox war akiwa anaexist. We unadhani nguvu aliyoihitaji kutoka US nibkupambana na Hamas ambao wamebaki kwenye mikusanyiko ya watu kama kujichanganya na wakimbizi?.

Jambo kubwa linakuja. Tunaomba liiache dunia salama
 
Bila ya shaka unakubaliana na usemi huu:

"Bila Marekani Israel ni Mafi tu."

Amesikika mjumbe mmoja JF akinena kwa lugha.

Cc: taamu
 
Israel ndio wanaiendesha huyo Biden mwenye ugonjwa wa kusahau Hana ubavu wa kumfokea Netanyau, ni maneno ya kujifariji.

Kwa hiyo unadhani hizo nukuu ziko upside down na mfokaji hapo na Natenyahu?

Kama yako ni mahaba basi limbwata itakuwa inahusika!
 
UKinunua Iphone imeandikwa made in China . Lakini ni ya Mmarekani. Waisrael wanaweka bunifu zao USA . Marekani ipo pale ilipo kutokana na akili na bunifu za wa Israel. Ndio maana nimesema wao ndo wana Icontrol Marekani. Kile wanachokihitaji kutoka marekani ni sehemu yao halali kutokana na mchango wao
 
Hahaaaaaa hao wa Iran hata Burundi hawawawezi.😀😃😄😁😆
Kwa hiyo ndiyo sababu Natenyahu kutwa kuchwa kwenye magoti kuomba hisani kukingiwa kifua na ma bouncer, tena kwa gharama yoyote?

"There's no free lunch."

Usemi huu si ni wazi mno kwa jinsia zote ziwe na marinda au la.

Au nasema uongo ndugu zangu? 🤣
 
UKinunua Iphone imeandikwa made in China . Lakini ni ya Mmarekani. Waisrael wanaweka bunifu zao USA . Marekani ipo pale ilipo kutokana na akili na bunifu za wa Israel. Ndio maana nimesema wao ndo wana Icontrol Marekani. Kile wanachokihitaji kutoka marekani ni sehemu yao halali kutokana na mchango wao

Wakaweke bunifu zao ugenini? Mtasema hata Obama bila shaka ni mwisraeli.

Bottom line:

IMG_20240802_220128.jpg

kwani kuna haja ya kumung'unya maneno?

Kaonywa ajiandae kula anakopeleka mboga!

Ama kwa hakika Kiungopunda au nduguyo ni dhoofu kuliko Burundi? Si kwa kudhalilishwa huku!
 
Wote wamoja hao wanafiki hakuna kitu kama hicho eti wafokeane mnachekechwa nyinyi ili niamini ushenzi wao
 
Wakaweke bunifu zao ugenini? Mtasema hata Obama bila shaka ni mwisraeli.

Bottom line:

View attachment 3060168

kwani kuna haja ya kumung'unya maneno?

Kaonywa ajiandae kula anakopeleka mboga!

Ama kwa hakika Kiungopunda nduguyo ni dhoofu kuliko Burundi!
Kuna kitu kinaitwa propaganda kwenye vita. Iran aingie ndo atajua anapigana na nani. Yani kwa maneno yako Marekani anasikitika kwa Israel ilichokifanya hii wiki.

Kwanza mbona mnafurahia maneno ya propaganda ya US wakati mlishasema yeye si chochote? Hata akiwaunga mkono si hana madhara?
 
Haya ya kwenda kusaka wenye vifua kama vya wale mawaziri wa kwetu matokeo yake si ni kuolewa?

Kuna wimbo wakiimba kina Bujibuji Simba Nyamaume kwa umahiri mkubwa:

"Kambona AAA AAA ameolewa!
Wapi?
Aaa AAA!
Kule ulaya!"🎶🎶🎼

Ndiyo yaliyopo kwenye capture hii:

IMG_20240802_220128.jpg

Au wewe unasoma kinyume nyume ndugu?
 
Ubishani wa kijinga kabisa huu.
Ushabiki wa vitu visivyowezekana.

Iran ubavu huo hana na hawezi kua nao wala kuthubutu.
 
Back
Top Bottom