Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Wanaigiza nyuma ya pazia wanagonga chears. Waogope sana politicians wanajua kucheza na jukwaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiambiwaga US inaendeshwa na Israel msiwe mnakaza fuvu umeelewa? haya soma hapo chini kwenye link kutokea TV lenu la kigaidi halafu linganisha na ulichofurahia kukipost,Hayakuwa mazungumzo bali kufokewa kama mtoto mdogo, kwenye kuambatana na kupewa maelekezo:
View attachment 3059955
Majibu ya Natenyahu: "nimekosa mimi. Nimekosa sana. Nimekosa baba." Yobbo style.
Transcript nzima kama ilivyo, hapo post #2.
Israeli navy says it completed test of LRAD long-range defence system
The Israeli navy completed this week a successful test of the LRAD long-rang interceptor, which is meant to take out a variety of threats, including cruise missiles and rockets, the military has said.
The test was carried out with Israel on high alert for possible attacks from Iran and its allies in the region – in retaliation to the killing of Haniyeh in Iran and Hezbollah commander Fuad Shukr in Beirut.
Wanaigiza nyuma ya pazia wanagonga chears. Waogope sana politicians wanajua kucheza na jukwaa.
Mkiambiwaga US inaendeshwa na Israel msiwe mnakaza fuvu umeelewa? haya soma hapo chini kwenye link kutokea TV lenu la kigaidi halafu linganisha na ulichofurahia kukipost,
Wenye dunia yao wanamsubiri mwali binti mchafu muiran kwa hamu sana hapo bado UK, na wengine n infact waarabu wenye akili kama jordan washasema chochote cha muajemi kikipita kwenye anga yako kinatunguliwa shubaaamit.
![]()
Israel’s war on Gaza updates: 17 killed in attacks on shelter
A school sheltering displaced Palestinians in Gaza City’s Sheikh Radwan neighbourhood targeted twice.www.aljazeera.com
Ndio mlichojadiliana kwenye swallat al fajri hiko. Jamaa anawavua nguo sana nyie wayeman na waarabu wa Mtongani.
Kwa hiyo hilo igizo huyu mwamba atasimama peke yake?
Story za vilinge vya gahawa hivyo baada ya kutoka masjid.
Israel ina icontrol marekani. Ndiyo inayofanya maamuzi US. Wanawezaje kujikataa. Ikija suala la usalama wa Israel Hakuna democrat wa Republican. Hakuna namna marekani inaweza jiweka pembeni.
Msifurahie vita.
Irani ikijichanganya Itagundua kumbe Jehanam ipo Duniani pia. Kama unakumbuka Netanyahu alipohutubia congress alisema we want to finish this busness . Wakati wanaanza kuivamia Gaza alisema tunataka tuibadilishe kabisa.
Jiulize unaweza kuimaliza kazi huku hasimu anaeanzisha prox war akiwa anaexist. We unadhani nguvu aliyoihitaji kutoka US nibkupambana na Hamas ambao wamebaki kwenye mikusanyiko ya watu kama kujichanganya na wakimbizi?.
Jambo kubwa linakuja. Tunaomba liiache dunia salama
Israel ndio wanaiendesha huyo Biden mwenye ugonjwa wa kusahau Hana ubavu wa kumfokea Netanyau, ni maneno ya kujifariji.
Israel ndio wanaiendesha huyo Biden mwenye ugonjwa wa kusahau Hana ubavu wa kumfokea Netanyau, ni maneno ya kujifariji.
UKinunua Iphone imeandikwa made in China . Lakini ni ya Mmarekani. Waisrael wanaweka bunifu zao USA . Marekani ipo pale ilipo kutokana na akili na bunifu za wa Israel. Ndio maana nimesema wao ndo wana Icontrol Marekani. Kile wanachokihitaji kutoka marekani ni sehemu yao halali kutokana na mchango waoBila ya shaka unakubaliana na usemi huu:
"Bila Marekani Israel ni Mafi tu."
Amesikika mjumbe mmoja JF akinena kwa lugha.
Kwa hiyo ndiyo sababu Natenyahu kutwa kuchwa kwenye magoti kuomba hisani kukingiwa kifua na ma bouncer, tena kwa gharama yoyote?Hahaaaaaa hao wa Iran hata Burundi hawawawezi.😀😃😄😁😆
UKinunua Iphone imeandikwa made in China . Lakini ni ya Mmarekani. Waisrael wanaweka bunifu zao USA . Marekani ipo pale ilipo kutokana na akili na bunifu za wa Israel. Ndio maana nimesema wao ndo wana Icontrol Marekani. Kile wanachokihitaji kutoka marekani ni sehemu yao halali kutokana na mchango wao
Kuna kitu kinaitwa propaganda kwenye vita. Iran aingie ndo atajua anapigana na nani. Yani kwa maneno yako Marekani anasikitika kwa Israel ilichokifanya hii wiki.Wakaweke bunifu zao ugenini? Mtasema hata Obama bila shaka ni mwisraeli.
Bottom line:
View attachment 3060168
kwani kuna haja ya kumung'unya maneno?
Kaonywa ajiandae kula anakopeleka mboga!
Ama kwa hakika Kiungopunda nduguyo ni dhoofu kuliko Burundi!
Jamaa wanasema zinaenda kufanya maonyesho
Kuna kitu kinaitwa propaganda kwenye vita. Iran aingie ndo atajua anapigana na nani. Yani kwa maneno yako Marekani anasikitika kwa Israel ilichokifanya hii wiki.
Kwanza mbona mnafurahia maneno ya propaganda ya US wakati mlishasema yeye si chochote? Hata akiwaunga mkono si hana madhara?