Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Status
Not open for further replies.
Tuseme uko sawa kwa hiyo mimi nikiwa nje niite Simba ya waafrica au? Simba ya Tanzania. Na wewe kwa sababu uko nje ulitakiwa kusema Alhly ya Egypt ukisema waarabu nitakuuliza waarabu wapi LIbya? Egypt ni Africa
Sio kua unakosea wala Mimi sikosei, mfano mtu akiwa Nigeria akasema anacheza na Simba ya Africa mashariki hajakosea, na kama unataka nchi specific bado utakua hujakosea kwa sababu unataka kujua xaidi
 
Tuseme uko sawa kwa hiyo mimi nikiwa nje niite Simba ya waafrica au? Simba ya Tanzania. Na wewe kwa sababu uko nje ulitakiwa kusema Alhly ya Egypt ukisema waarabu nitakuuliza waarabu wapi LIbya? Egypt ni Africa
Tuko pamoja, we ukisema Al Ahly ya Egypt haujakosea na nikisema ya waarabu sijakosea, labda kwa mtu ambaye hajui Al Ahly inatoka nchi ngani anaweza kuuliza hao Al Ahly ni waarabu wa wapi? , Ningemjibu wa Egypt. Mi nimefanya kuikuza zaidi kulingana na ukubwa wa Timu.
 
Sio kua unakosea wala Mimi sikosei, mfano mtu akiwa Nigeria akasema anacheza na Simba ya Africa mashariki hajakosea, na kama unataka nchi specific bado utakua hujakosea kwa sababu unataka kujua xaidi
Mimi nadhani tuna close gap kwenye hili, na mimi siongelei kwa ubaya ila tunajifunza. kuna wakati nilikuwa nchi fulani ya mbali sana sitaki kuitaja inaweza kuleta taswira ya kujikweza, nilikuwa nakereka nikiulizwa unatoka wapi nasema Tanzania halafu anakuwa haijui Tanzania ni wapi hii, najibu Africa EA bado anakuwa na mashaka natafuta kitu kikubwa nasema unaijuwa South Africa sasa sisi sio mbali sana nakuwa nakereka. Nadhani kwa mfano wako ukiwa Nigeria akiniuliza nitasema Simba ya Tanzania sasa kama haijui Tanzania nitamwambia Tanzania iko upande wa EA mpaka na nchi fulani na fulani. tukija Alhly tunasema team ya Egypt kama mtu haijui Egypt sasa tunajumlisha team za N. Africa lakini yote haileti maana nzuri. Simba ya Tanzania na Al Ahly ya Egypt akiwa mtu hajui aende kwa professor Google atafute.
 
Mimi kulileta hili ni kwa sababu ninao marafiki wa Tanzania wengi wenye asili ya kiarabu nadhani ilikuwa mechi ya Tanzania na Algeria mtangazaji akawa amekomalia hawa waarabu funga Tanzania moja waarabu 0 nadhani ile mechi Tz wakawa wanaongoza 2 ile kauli ikawa inawakera jamaa zangu kwanini asiseme Algeria 0 maana kuna wa Tanzania wengi tu wana asili ya kiarabu lakini ni wa Tanzania. ndio maana nikasema tuite Al Ahly ya Egypt maana Simba washabiki wake wengi ni wa Tanzania wenye asili ya waarabu.
 
Refa wa pambano keshajulikana, anatoka Cameroon ni Sidi Aliom.
Ndiye aliyechezesha fainali ya (AFCON) mwaka 2019kati ya Algeria na Senegal
Mwaka 2014 alichezesha fainali za kombe la dunia lililofanyika Brazil na kuweka rekodi ya kuwa refa mdogo zaidi katika mashindano ya mwaka huo. Pia amewahi kuchezesha kombe la duniaa la vijana chini ya umri wa miaka20 na piaa kombe la dunia la vijana chini ya miaka 17 atasaidiwa wasaidizi 2 na refa wa akiba ambao wote watatoka Cameroon.
Kamishina wa Mchezo atatoka Kenya.
Msimamizi mkuu atatoka Sudan wakati mtathimini wa kiufundi wa masuala ya luninga atatoka Tunisiawakato ofisa wa masuala ya vipimo vya covid 19 atatoka Tanzania.
CAF imeona ukubwa wa pambano hadi ikachagua refa makini kuchezesha hili pambano.
 
Apo kwenye vipimo vya corona.........
 
Baada ya kutoka kufungwa na Bayern Munich nadhani hasira zetu sisi wahebeshi mnajua tutazimalizia wapi kituo kinachofuata
 
Wale wa Al Ahly tupo jukwaa kubwa, tena tufahamiane mapema.
 
Mtamuomba mkudeleo
 
Baada ya kutoka kufungwa na Bayern Munich nadhani hasira zetu sisi wahebeshi mnajua tutazimalizia wapi kituo kinachofuata
Tangu lini mkawa wa wahabeshi wakati juzijuzi mlikuwa wanigera, wazimbabwe na wakongo.
Ramani yenu iliyopo kwenye marera yenu inawafanya mtangetange kama mwanamke malaya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…