Unamlalamikia nani sasa? Wewe si umwage matusi kama unaona ni mahala pake?Hii habari ingekuwa imeletwa inahusu nchi za Africa yangemwagwa matusi ya kiswahili na ya kizungu hapa,lakini kwasababu ni U.S akuna tusi hata moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamlalamikia nani sasa? Wewe si umwage matusi kama unaona ni mahala pake?Hii habari ingekuwa imeletwa inahusu nchi za Africa yangemwagwa matusi ya kiswahili na ya kizungu hapa,lakini kwasababu ni U.S akuna tusi hata moja.
tatizo biden mwenyewe ni mzigo, yan hatufiki 22 kamala atakua potusBiden atakuwa na kazi ngumu ya kurekebisha mambo ya hovyo yaliyofanywa na utawala wa Trump, sawa na itakavyokuwa kwa yule atakayechukua madaraka mwaka 2025 Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, siyo kwamba hao wanajeshi wanawaheshimu hao waandamanji ila wanaogopa wakiwagusa silaha zaidi ya hizo zinakuja road!watu wanaandamana na siraha, polisi wanasindikiza maandamano bila kuwadhuru hao raia, huu ni mfano bora kabisa wa majeshi kuheshimu uhuru wa mawazo na kuandamana bila kusababisha madhara kwa raia, au unadhani majeshi ya marekani hayana uwezo wa kuwaua hao raia? na kuwabambikia kesi za uhaini? swali la kujiuliza ingekuwa hapa kwetu Afrika nini kingetokea unampinga rais mweusi alie chaguliwa? hiiii utanyonyolewa hata kama huna manyoya.
Ile nchi kikinuka hadi nyukilia zitatumikaObama alilia sana kwenye hilo lakini alionekana mjinga
"yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo."Kwangu ni kukomaa kwa demokrasi ya hali ya juu sana.
yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo.
Kwa nchi za kiafrica na za kikomonist dhubutu hata kupeperusha jani angani ni shida kubwa sana.
Ni ruksa kumiliki silaha na iko kikatiba ajabu nin wanatekeleza haki yao ya kikatibaUsishangae huu uzi ukakosa wachangiaji.
Maana Kuna wajinga wanaamini marekani ni malaika
Kumiliki silaha ipo kikatiba ajabu ni nin"yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo."
Vitu vingine mnavyo sifia, yani kuandamana na Silaha ndio demokrasia,vip hao askari nao watakuwa na hali gani endapo vurugu zikitokea.
Kama hujui zaidi ya 80% ya wamarekani wanamiliki silaha na maandamano haya lazima yatakuwa na vurugu,sasa pata picha silaha hizi zikitumika.
Kwao kweli zipo kikatiba,ila kumbuka watu wanaozishika walikuwa na ujasiri mpaka kuvunja jengo la bunge manake wanaweza kufanya chochote.Kumiliki silaha ipo kikatiba ajabu ni nin
Hahah... Ni kweli mkuu hata kwenye muvi zao unakuta mtu ana ki Arsenal kidogo nyumbani kwake.
Marekani kabla hata ya kupata Uhuru watu walikua wanamiliki silaha kiholehola holela hawajaanza leoKwao kweli zipo kikatiba,ila kumbuka watu wanaozishika walikuwa na ujasiri mpaka kuvunja jengo la bunge manake wanaweza kufanya chochote.
Sasa wakifanya masihala zitatumika ktk ardhi yao wenyewe.Marekani kabla hata ya kupata Uhuru watu walikua wanamiliki silaha kiholehola holela hawajaanza leo