Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

Hii ni pointless, huwez mfananisha Doctor na Mwalimu eti kisa wote wana bachelor, unakua unaupungufu wakufikilia [emoji817]%
.... mbona wabunge husemi, na Wa President Je..... [emoji84] [emoji84]
 
unaongea usivyovijuwa, kila idara INA changamoto zake na huwezi kusema kuwa idara ya afya ina changamoto nyingi kuliko zilizoko idara ya elimu, hauko siliazi

Kwani idara ni afya na elimu tu? Vepe unawachobokea hao tu!? Sisi record wa Masjala nani atatusemea?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] vzur sana,
huwez fananisha ufundishaji wa civics na mtu anae uchambua ubongo...
mtakufa muanze sema Tz madactar bingwa hakuna....
watahamia nchi jirani.....
Doctors are Doctors
Teachers are Teachers
En so on.....
 
u
hahahahaha! kweli kati ya wale watu 4 wewe ndiye kichaa. yaani unataka mishahara ilipwe kwa kuangalia div aliyoipata MTU. hivi MTU aliyepata div 1 anazuiliwa kusma ualimu. lkn pia mbona hata upande Wa madaktari wapo wenye div. 3 au umekaririshwa
unaweza kujibu hoja bila kuni insult..huo ndio ustaarabu! point ni kwamba huwezi fananisha mwalimu na daktari au pharmacists issue ya div iko wazi kabisa i believe zaidi ya 90% ya walimu walikuwa failures either o au a level ndio wakakimbilia huko! kila mtu analijua hilo!
 
Nyie wote mnazunguka tuu, nchi hii ukitaka mshahara mzuri kuwa mwanasiasa, wakina majimarefu wenzenu wakiingia bungen tuu kwa mara ya kwanza wanapewa milion 80 za kununua usafiri na sahivi wabasema hazitoshi, haya bado mshahara, malupulupu ya kwenye kamati, fedha za jimbon za mbunge, ziara za kamati. Hapo bado hawajapewa 10% za kwenye taasisi na mashirika wanayopitia kukagua ili wapitishe hati safi, jaman siasa inalipa nyie endeleen kugombana vimishahara vya walimu na madaktari. We jiulize ni lini bungeni wabunge walisimama serious kabisa wakatetea mishahara ya sekta mbalimbali zaidi ya mishahara yao na malupulupu?
 
Ni tanzania hii mnajisifia mishahara ya kikuda afu wote mmeajiriwa kwanza ni mtumwa ukishaajiriwa unapangiwa maisha huna maana yoyte
 
Mwalimu hawezi kuwa ndani ya tatu bora, hapo unechapia!

Yaani kada ya ualimu iwe ya tatu kwa ukubwa wa mshahara katika kada zote Tanzania?

Unefikiri kwa kutukia akiri yako mwenyewe?
 
Ww kapambane muhas 6 ukililia milion 2.wakti kuna watu mtaani ana ht dp anaingiza hiyo kwa wiki pimbi wwe..ww ona kusoma sna ndio ujanja.
 
mwalimu aliyepata div 3 au 4 akaungaunga na kupata degree alingane na pharmacist au ddaktari aliyepata div 1 six..kisa tu wote eti wana degree! ridiculous!

huyo pharmacist mwenye div 1 six......katokea kwenye mikono ya nani mkuu........au yeye alishuka toka mbinguni......????
 
Unadhani inawezekana hivi changamoto za idara ya afya unaifananisha na idara ya elimu?

Ufananisho huu unatumia hoja ipi Mkuuu
Kumuelekeza mtoto kujua kusoma sio swala la mchezo, ukitaka kujua haya Prof.Shimji na wenzake walikuwa wanatoka udsm pale wanaenda Mlalakuwa miaka 1980s kuwafundisha kusoma na kuandika na walikiri ni zoezi gumu sasa wewe udaktari shida ni nini wakati umefundishwa na mwalimu tayari?
 
Duuh. . Cha msingi kila mtu apate fedha kulingana na alivyoisotea ......msoto wa kua professor uendane na fedha atayolipwa msoto wa certificate vivyohivyo. ....
 


ukumbuke kuwa si level zote za elimu zawezekana kulipwa mshahara sawa...huwezi sema mtu mwenye degree ya sheria na degree ya PR wote ni sawa... tofauti ipo kubwa sana...
 
Wazo la kurekebisha mishahara ni jema lakini baada ya kuondoa wafanyakazi hewa na waliogushi vyeti serikali inatakiwa ipitie idara zake zote maana zipo idara watumishi wamekuwa wengi mpaka wanakosa kazi za kufanya na kusababisha watumishi wengine kupokea mshahara bila ya kufanya kazi.Kuwepo na kipimo kila mfanyakazi wa serikali aonyeshe kwa mwezi amefanya kazi gani.Maana watumishi wa serikali wanaopokea mishahara bila kufanyakazi ni wengi kuliko wafanyakazi hewa.
 
Kwani OPRAS zinafanya kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…