Hata kama mwalimu wa chekechea alimfundisha profesa lakini hii haiondoi umuhimu wa profesaBila mwalimu atakuwepo kweli huyu?[emoji56]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama mwalimu wa chekechea alimfundisha profesa lakini hii haiondoi umuhimu wa profesaBila mwalimu atakuwepo kweli huyu?[emoji56]
Hii ni pointless, huwez mfananisha Doctor na Mwalimu eti kisa wote wana bachelor, unakua unaupungufu wakufikilia [emoji817]%habari wanandugu!
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani Moja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya Wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi Wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu Wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu Wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu. yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti
by mkulima Wa nyanya
unaongea usivyovijuwa, kila idara INA changamoto zake na huwezi kusema kuwa idara ya afya ina changamoto nyingi kuliko zilizoko idara ya elimu, hauko siliazi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] vzur sana,Kuna vitu vingine vinachekesha kweli dunia mzima haupo huo utaratibu mtu na MMED yake ya neurology anachambua ubongo kama mchele amekaa darasani miaka 9 eti alipwe sawa na mwalimu wa civics form one, NONSENSE.
Ukiona sehemu wanalipa vizuri hamia huko.
unaweza kujibu hoja bila kuni insult..huo ndio ustaarabu! point ni kwamba huwezi fananisha mwalimu na daktari au pharmacists issue ya div iko wazi kabisa i believe zaidi ya 90% ya walimu walikuwa failures either o au a level ndio wakakimbilia huko! kila mtu analijua hilo!hahahahaha! kweli kati ya wale watu 4 wewe ndiye kichaa. yaani unataka mishahara ilipwe kwa kuangalia div aliyoipata MTU. hivi MTU aliyepata div 1 anazuiliwa kusma ualimu. lkn pia mbona hata upande Wa madaktari wapo wenye div. 3 au umekaririshwa
Mwalimu hawezi kuwa ndani ya tatu bora, hapo unechapia!jamani vitu vingine tuwe tuna uliza wenyeji mwalimu wa ngazi ipi Tanzania analipwa mshahara wa laki mbili mbona mnapenda kuona kama walimu ndio watumishi hohe hahe kwa kila kitu
Hivi mnajua Kuna walimu wanachukua mshahara milioni moja yani hiyo milioni ni yake hapo makato yote yamefanyika
Hivi mnajua katika watumishi wa umma ukiweza tatu bora mwalimu hawezi kukosa kuwa na mshahara mzuri ukitofautisha na idara nyingine
Tatizo walimu wamejaa uchoyo na unafiki ndio maaana wanaoneka hawana kipato wanaogopa kusema wapo vizuri kiuchumi kwakujua wataobwa au kukopwa
Amefundishwa na mwalimu wa stadi za kaziacha ujinga huyo MMED wa neurology amefundishwa na nani??
mwalimu aliyepata div 3 au 4 akaungaunga na kupata degree alingane na pharmacist au ddaktari aliyepata div 1 six..kisa tu wote eti wana degree! ridiculous!
Kumuelekeza mtoto kujua kusoma sio swala la mchezo, ukitaka kujua haya Prof.Shimji na wenzake walikuwa wanatoka udsm pale wanaenda Mlalakuwa miaka 1980s kuwafundisha kusoma na kuandika na walikiri ni zoezi gumu sasa wewe udaktari shida ni nini wakati umefundishwa na mwalimu tayari?Unadhani inawezekana hivi changamoto za idara ya afya unaifananisha na idara ya elimu?
Ufananisho huu unatumia hoja ipi Mkuuu
huyo pharmacist mwenye div 1 six......katokea kwenye mikono ya nani mkuu........au yeye alishuka toka mbinguni......????
Habari wanandugu,
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
Kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani mmoja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
Kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti.
By mkulima wa nyanya
Kwani OPRAS zinafanya kazi gani?Wazo la kurekebisha mishahara ni jema lakini baada ya kuondoa wafanyakazi hewa na waliogushi vyeti serikali inatakiwa ipitie idara zake zote maana zipo idara watumishi wamekuwa wengi mpaka wanakosa kazi za kufanya na kusababisha watumishi wengine kupokea mshahara bila ya kufanya kazi.Kuwepo na kipimo kila mfanyakazi wa serikali aonyeshe kwa mwezi amefanya kazi gani.Maana watumishi wa serikali wanaopokea mishahara bila kufanyakazi ni wengi kuliko wafanyakazi hewa.
Product ya tuition mkuu