Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

[emoji23][emoji23][emoji23] watumishi wa umma bwana ivi wanaota kuhusu mabadiliko ya mshahara bado duh kweli mbatata ni wengi nchi hii.
 
hatuna shida na wewe, wasalimie milembe
Haya makauxho mwaka uu niadje teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh ko uyo mchz n miongon mwa wanamilembe hahahahahahahahahaha
 
Mtoa mada pongezi kwa kutoa dukuduku lako.ila napenda kukumbusha kuwa mshahara kupangwa unazingatia mengi ikiwemo idadi ya miaka kusoma vyuoni, risk ya mtoa huduma ( magonjwa, ajali nk), uhaba wa wataalamu wa kada husika .mazingira ya kazi., hivyo hoja yako itakua na mashiko zaidi tu mfano kusema wahasibu ndani ya taasisi zinazofanana kisheria yaani mfano wakala wa serikali (tamesa. Ttsa ) Au mamlaka km tanapa tfda na tra au kampun xa serikali km tanesko na ttcl nk
 
hili labda aende Jupiter mkuu
 
Umelipokea andiko langu kwa mtizamo hasi.. hakuna niliposema waliosoma arts ni villaza. na hakuna niiposema waliosoma uhasibu au ualimu hawakusoma sayansi.

kada zote zinategemeana, hakuna engineer bila mwalimu, nahakuna shule bila engineer. lakin ni jambo la busara kuzipa kipaumbele baadhi ya kada kwa sababu njia yake ni ngumu kuliko kada nyingine, lengo likiwa kuwatia moyo watoto kupenda kada husika japo wanajua ni ngumu.

kutokana na ugumu uliopo wa kuwa engineer kamili, engineer akilipwa sawa na mwalimu watoto watachagua kuwa walimu na tutakosa kada hiyo.

achana na mambo ya passion mkuu.. sijui mambo ya wito.... hayo ilikuwa zamani. siku hizi mafanikio ya kimaendeleo ndo suala la msingi.
 
Ndio nimemjibu huyo mtoa mada kuwa haiwezekani mtu anayeunga mifupa ya binadamu eti alipwe sawa na mtu anayekalilisha "videfiniton"
juma ni mtoto wa mtoto wangu kwa hiyo juma ni.......... wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa atakua anatania yaani huyu nae alipwe sawa na doctor?
 
Kaazi kweli kweli naona hapa walimu wanaongelewa ni wa primary na secondary, coz wa vyuoni wanakula mpunga mrefu tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio ilingane Ila kusiwe Na ombwe la mshahara
 
hoja yako ya kipuuzi, kwani kwenye afya hakuna wanaoungaunga mpaka ngazi ya degree au masters?
Ni mpuuzi tu kama anaweza kufikiri Tz mishahara inalipwa kwa kigezo cha elimu za watu. Ingekuwa ni hivyo kwanini mbunge wa drs7 alipwe pesa kibao na marupirupu kuliko daktari, kuliko prof? hapo nguvu ya elimu iko wapi atuoneshe. Iweje rais mwenye "pass" degree alipwe mara 10 ya prof anayezalisha maintellectuals duniani? hapo nguvu na kigezo cha elimu kiko wapi?

Mishahara ilipwe kwa kigezo kimoja kikubwa tu, kulitumikia Taifa. Uwe daktari, uwe nesi, uwe mwalimu, uwe mwanasheria n.k sote tunalitumikia taifa, kufanya kazi serikalini isifanywe mahala pa kuneemesha watu, aliye tayari kuitumikia nchi yake na apewe kazi, anayesema mshahara huu ni wa mwalimu na mie ni injinia siwezi kuukubali basi aendelee na shughuri zake. Utumishi wa umma ni kujitoa, ni kulitumikia Taifa lako kwani kuna hata wakati unaweza kutakiwa ufanye kazi na usilipwe ilimradi unaitumikia nchi yako, hizo kazi zipo na hayo mazingira yapo pia. Kubali kilichopo leo na huo ndo uzalendo kwa nchi yako ( to serve your country )
 
Acha ushamba kwani hakuna walimu wenye div1? Usiropoke vitu usivokuwa na maarifa navyo nikweli mwalim halingan na dactar lkn div sio kigezo hii ni dalili ya ulimbukeni
Hakuna mwalimu mwenye div 1 isipokua labda wale ma lecture wa vyuoni(universities) na hata kama yupo wa secondary bas hiyo haikua mipango yake na mpaka time hii anajilaumu sana
 
Tuwathamini walimu wetu na wanastahili mishahara bora.. ila tusianze kulinganisha mshahara wa daktari na mwalimu, Tunakosea
 
Hata huko ulimwenguni Hali ipo hivyo, pitia hiyo link, kama Kuna mwalimu hapo
Halafu angalia From no 1 to 10 uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…