Idiotacheni utoto nyinyi!! eti mwalimu alipwe sawa na daktari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idiotacheni utoto nyinyi!! eti mwalimu alipwe sawa na daktari
Idiot huyo dk bila mwalimu angekuwepo???acheni utoto nyinyi!! eti mwalimu alipwe sawa na daktari
Huu ni mpambano mkalimwalimu aliyepata div 3 au 4 akaungaunga na kupata degree alingane na pharmacist au ddaktari aliyepata div 1 six..kisa tu wote eti wana degree! ridiculous!
Haya makauxho mwaka uu niadje teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh ko uyo mchz n miongon mwa wanamilembe hahahahahahahahahahahatuna shida na wewe, wasalimie milembe
hili labda aende Jupiter mkuuKuna vitu vingine vinachekesha kweli dunia mzima haupo huo utaratibu mtu na MMED yake ya neurology anachambua ubongo kama mchele amekaa darasani miaka 9 eti alipwe sawa na mwalimu wa civics form one, NONSENSE.
Ukiona sehemu wanalipa vizuri hamia huko.
Umelipokea andiko langu kwa mtizamo hasi.. hakuna niliposema waliosoma arts ni villaza. na hakuna niiposema waliosoma uhasibu au ualimu hawakusoma sayansi.Mbona unaongea kana kwamba umevamia fani!!!!!!!!!..........
si kila anayesoma sayansi ana upeo mkubwa kuliko wale wanaosomea masomo mengineyo na pia si kila anayechukua course zilizo tofauti na za sayansi vyuoni, alipitia masomo ya biashara na sanaa
kuna watu walipitia mzumbe kusoma baf na walitokea pcm,pcb,pgm na sio failures...
Kitu ulichokosa katika maisha yako ni passion katika uliyoyasoma ndiyo maana ulikuwa ukiyaona ni mateso lakini kwa wengineo ilikuwa ni furaha kwao kutimiza ndoto zao....
Ninamuheshimu kila mtu na kada yake na siwezi kuiona ni bora kuliko nyinginezo....
juma ni mtoto wa mtoto wangu kwa hiyo juma ni.......... wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa atakua anatania yaani huyu nae alipwe sawa na doctor?Ndio nimemjibu huyo mtoa mada kuwa haiwezekani mtu anayeunga mifupa ya binadamu eti alipwe sawa na mtu anayekalilisha "videfiniton"
Kaazi kweli kweli naona hapa walimu wanaongelewa ni wa primary na secondary, coz wa vyuoni wanakula mpunga mrefu tuMwambie huyo!
Ajibu swali hili kwanza"what is the primary source of knowledge?" mpaka mchambua ubongo,muunga mifupa n.k anakuwa hivo alianzaje kuvijua?
Si alifundishwa vi-definition(kama alivyosema) na mwalimu?
Tena vya;
1.What is biology? (Ka-form one hapo kapokapo tu,unakakataza kelele).
2.You!what is microorganisms?
3.What are the common diseases and infection?
4.What is coronary thrombosis?
5.What do you understand about arteriosclerosis?
Halafu kanajua,eti badae MWALIMU hana maana tena looo!!!maajabu haya.
Ni muhimu sana MWALIMU aangaliwe mshahara wake.Usimchukulie poa hata kidogo
"Kazi kubwa ya mwalimu ni kuondoa ujinga na kubadili fikra za wajinga hao wasiojua" Mwl,Nyerere
Poleni walimu wote wa Tanzania. Mtetezi wenu alifariki Msanii Mkoloni RIP.
For sure mkuuhili labda aende Jupiter mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akili za mwendokasi hizi. Mbona hujiulizi kwanini bei ya vitabu vya Biology na Physics au zaidi vitabu vya medicines ni tofauti? Je tuition fee ya shahada za udaktari sawa na zile za History? Na mbona hupendekezi wote wasome miaka 3 undergrts kama BA kiswahili?
Na huyo dk bila kumtibu huyo mwalimu kuendelea kua na afya nzuri unalionaje hilo?Idiot huyo dk bila mwalimu angekuwepo???
Sio ilingane Ila kusiwe Na ombwe la mshaharahabari wanandugu!
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani Moja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya Wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi Wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu Wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu Wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu. yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti
by mkulima Wa nyanya
Ni mpuuzi tu kama anaweza kufikiri Tz mishahara inalipwa kwa kigezo cha elimu za watu. Ingekuwa ni hivyo kwanini mbunge wa drs7 alipwe pesa kibao na marupirupu kuliko daktari, kuliko prof? hapo nguvu ya elimu iko wapi atuoneshe. Iweje rais mwenye "pass" degree alipwe mara 10 ya prof anayezalisha maintellectuals duniani? hapo nguvu na kigezo cha elimu kiko wapi?hoja yako ya kipuuzi, kwani kwenye afya hakuna wanaoungaunga mpaka ngazi ya degree au masters?
Hakuna mwalimu mwenye div 1 isipokua labda wale ma lecture wa vyuoni(universities) na hata kama yupo wa secondary bas hiyo haikua mipango yake na mpaka time hii anajilaumu sanaAcha ushamba kwani hakuna walimu wenye div1? Usiropoke vitu usivokuwa na maarifa navyo nikweli mwalim halingan na dactar lkn div sio kigezo hii ni dalili ya ulimbukeni