Nelly Mtengwa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 371
- 415
pamoja na hayo, Mimi nipate Div one ya pcb, nilikuwa nakesha nasoma wewe na HKL yako miguu juu umelala bwenini, nije chuo kikuu nisome 6yrs na msuri mnene, kupasua maiti na kadhia zote ndo Napata registration ya udactari, wewe miguu juu unasoma 3yrs ushapada degree yako ya ualimu, tena ya discussion tu kwenye vimbweta.
bado kazini niitwe hata usku wa manane kuwahudumia watu,sina sikukuu wala jumapili, wewe saa 9 alasiri ushafunga ofisi mpaka kesho na ni weekdays tu.
Alaf tuajiliwe na kulipwa mshahara sawa???? hell no. tinaenda private kama noma na iwe noma.
dactari lazima alipwe mshahara zaidi ya mwalimu, tusipofanya hivi tutawakosa madactari maana kutakuwa hakuna haja kuumia na masomo miaka yote hiyo alaf tulingane mshahara na mwalimu aliyesoma bila kuumia sana. wote tuwe waalimu tu.. alaaah.
1. Kwani ni kila siku dharura za usiku wa manane zinatokea? Kwamba madokta huwa hawalalagi nyumbani?!!
2. Ulipokuwa shule ya bweni matatizo ya usiku wa manane yalishughulikiwa na nani?