Dusabimana
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 278
- 248
Kwahiyo unamaanisha Mkuu wa Nchi alikuwa anatuongopea pale aliposema tarehe 20/01/2020 mwisho wa kusajili line za Simu?!Kwani wameshafunga? Lawama za nini? Kama ni kuwahamasisha tu wananchi watafute hivyo vitambulisho kwa kutambua uvuvi wao na umuhimu wa kuwatambua wananchi kitaifa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hill swali muhimu sana!Je laini yako ikifungwa na ulikuwa unaitumia WhatsApp akaunti yako itaendea kuwepo !!
Wewe hujitambui na wala huwajui Viongozi wako jinsi walivyo wakurupukaji! Mfano Mkoa wa Kigoma walisajiliwa na NIDA tangu mwaka jana.Wiki iliyo pita ndo wameanza kutoa namba za NIDA na kwa baadhi ya Watu wachache! Wenye makosa hapo ni Wananchi au ni wenye Mamlaka?!Niwaulizeni nyie mnalalamikia NIDA TCRA hivi NIDA wanamiaka ngapi toka waanze kutoa vitambulisho.TCRA nao wana muda gani toka waanze kutuhimiza tukasajili line zetu.
Wasilaumiwe makosa ni yetu wananchi kila jambo tunadharau ata mombo ya msingi tunaleta dharau mie nimejiandikisha miezi ya nyuma huko na famila yangu baada ya muda mchache tumchuka namba.au toka miaka yote mlikua amjafikisha miaka 18 sasa ndio mmefikisha hiyo miaka.
Acheni lawama kwanza TCRA wametuvumia sana Chekini mnavyopanga mafoleni mtasema mnasubiria Mwendo Kasi Kimara.WAZIME LINE MSAJILI ZINGINE MLIYATAKA WENYEWE
Sisi tupo huku vijijini na tumesajili line zetu kwa namba za NIDA. Poleni sana wazee wa ' HIYO PESA TUMA KWENYE NAMBA HII' Tafuteni kazi zingine za kufanyaKwanza maisha ni magumu, halafu wewe unaongeza ugumu kwa kufunga laini za simu.
Wapiga kura wako, wengi wapo vijijini na hawajawahi kupata namba za NIDA. Octoba wanaenda kukuchinjia baharini (au una plan B ya kushinda?)
Unaenda kuvunja mahusiano ya watu, kuzuia miamala yote ya fedha na kujenga chuki kati yako na wananchi.
Ulitakiwa kuwawajibisha viongozi wa NIDA wala si wananchi. Nyota yako inazidi kufifia. Kwanini kila unachogusa kinafeli?
Je, mbona mnakomalia namba, tutaishia kupata namba tu bila vitambulisho?
Tarehe 20 ni usiku huu, lets wait and see.
Hili ni jambo zuri sana .Kwa wale wenye wasiwasi na vijana wanaopita mitaani kuwasajilia laini zaidi ya moja unaweza kwenda Mtandao husika ukaomba wakuonyeshe laini zako zote zilizotumia kitambulisho chako ambazo huzitambui wanazicancel nimeona Hayo ktk Mtandao WA airtel
Asante kwa ufafanuzi mzuri.WhatsApp kinachotumika ni internet namba yako utambulisho tu ndio maana unaona mtu yupo Ulaya ila anatumia utambulisho wa namba yake ya voda au tigo utashindwa kuiupdate kwa sababu namba za kuverify wanakutumia kwenye namba ya utambulisho
Achana nae huyo mkuu! Ni limbukeni tu,anahisi kupata kitambulisho cha NIDA ndo kuyapatia maishaWewe hujitambui na wala huwajui Viongozi wako jinsi walivyo wakurupukaji! Mfano Mkoa wa Kigoma walisajiliwa na NIDA tangu mwaka jana.Wiki iliyo pita ndo wameanza kutoa namba za NIDA na kwa baadhi ya Watu wachache! Wenye makosa hapo ni Wananchi au ni wenye Mamlaka?!
Kweli kabisa huyo ni wakupuuzwa!Achana nae huyo mkuu! Ni limbukeni tu,anahisi kupata kitambulisho cha NIDA ndo kuyapatia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni majibu ya akili za nzi kucheza na uchafu. Angekuwa na akili angetengeneza asali. Nchi inahitaji muda zaidi kujisajili. Line zikizimwa kesho wanyonge wengi wataumia. Mm nimeshasajili ila najua kwa muda uliowekwa ni ngumu nchi zima kuwa imesajili.Sisi tupo huku vijijini na tumesajili line zetu kwa namba za NIDA. Poleni sana wazee wa ' HIYO PESA TUMA KWENYE NAMBA HII' Tafuteni kazi zingine za kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app