kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Lakini vipi kuhusu utanzania wake ?Haionyeshi Kama Ni mkazi wa bunda au kigoma
Ikifika saa 5:50 usiku wa tarehe 19, zima simu yako na utoe line kwenye simu hadi kesho yake.... utaendelea kudunda hewani kama kawa.
Thank me later.
Haswa haswa wafanyakazi wa bankHuo muda unao.
Sisi waajiliwa tusio na off na tunaingia asubuhi kutoka usiku ndo wenye kimbembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho ndio siku ya mwisho ya kusajili simu kwa njia ya alama za vidole kwa mujibu wa agizo lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Magufuli.
Nini kitafuatia?
Stay tuned!
Naunga mkono hoja..Wataongexa muda wa miezi 6