Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Nimeshasajiliwa na mchumba nitaendelea kudunda hewani kama kawa ingawa kwa namba mpya,,

sasa nione kiburushuti kinamgusa eti anashtakiwa kwa kunisajilia line,,

kama sijatoa mbupu la mtu,,
 
Wengine tunaonewa kwa kunyimwa namba na tushajisajili tangu mwaka 2018, NIDa walaaniwe AMIINa.
 
Sawa Wakati wao NIDA Walipo tutangazia zoezi la kwenda kusajiliwa Vitambulisho kwenye Mkoa wetu, Wao hawakujua hivyo Vitambulisho havitolewi kama Karanga?!
NIDA sio kuchukua namba au kujisajiri lazima watambue kama una uhalali wa kupewa namba wengine si raia
 
Hakika mkuu.. Wengine jumbe za nida zaweza kuja mtu ukaipiga juu kwajuu ukijua ni sms za usumbufu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…