Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Zoezi la kibabe sana hili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazime tu nikimbiane na hawa jamaa wa Branch na M-Pawa.
 
Watanzania tu watu wa ajabu sana mkuu. Ikitokea mda wa kusajili line za cm ukaongezwa kwa mwezi m1, kesho hutawaona watu wakiendelea na usajili. Watasubilia wiki ya mwisho ndiyo utawaona wamejazana kwenye foleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kuongeza muda tumechoka kila mara kuongeza muda! Wao waendelee kujisajiri tu lakini simu zao zikiwa zimefungwa wakimaliza kusajiri zifunguliwe! Rais ameongeza mara mbili July 2019 na Dec 2019!!
Hahahaaaa...... Una roho mbaya kama siyo CCM!
 
Wao wenyewe wakubwa mbona hawakujisajiri huko mwanzoni?
Umejuaje??
Wakubwa wanajisajil hivi karbuni Haina maana hakuwa amesajli lain zake Ila wakubwa wengne wanasajil laini za biashara
Nyie pigeni kabobo sisi tunacheki inbobo tu
 
Watanzania ni wale wale

Ukiongeza muda wanarudi kupumzika wakisubiri zima moto

Hata Ukiongeza mwaka watu wamezoea deadline

Kujiandikisha mwishoni kuna raha yake mkuu

Hata kwenye vita wanaoenda mwishoni kuna raha yake, Raha ya kupora mali na kujiliwaza


Wale wa mwanzo ni chambo tu kujisajili

 
Tena umeanza na kanda gani atii? Bora tu yafungiwe hao hawatakaa watupe kura
 
Watu wanajisahau sana mambo muhm wanakumbka mwshoni mwaka Jana Kenya walifanya kufunga ni Kama masihara na ikawa hvo...nasi ni hvohvo ww Kama una laini na hukuisajili kwa Alama za vidole itunze tu itakusaidia siku ukiihitaji
 
Sure mkuu
 
Selikali inajivunia tume mbovu ya uchaguz

Haki ya nani tungekuwa na tume huru hawa washenzi wanaoitwa ccm tungesomana

Wao ndo wangekuwa wanaitwa wapinzan kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…