Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Hiii nchi awamu hii inaongozwa na watu wa ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii nchi awamu hii inaongozwa na watu wa ajabu sana
Hahahaaaa.......2020 ni mwaka muhimu bwashee!Umemalzia na kiitikio kizuri sana Ila sahauni ...
Hahahaaaa........ JK kasajili juzi line yake ya tigo!Wao wenyewe wakubwa mbona hawakujisajiri huko mwanzoni?
Zoezi la kibabe sana hili!Utaacha kazi watoto wale mawe,alafu huyo Bosi unaanzaje kumuaga unaenda kusajili line, wakati unaenda NIDA kwa ruhusa bahati kama siyo yako unakutana na foleni hadi unaamua kurudi kazini,Je wale wa vijijini amabako hamna hata wakala unafikiria wana pesa za kwenda Center au Wilayani kwa haraka kisa laini ya simu.
"Zoezi Endelevu"
Deadline ni leo 20/01/2020 saa 23:59 usiku kama utaratibu wa siku na saa itaheshimiwa ili wale wajamaa wetu wa tija kwa mteja wasiende mahakamani kudai tumeonewa..
"Tuko Vizuri" mabeberu wanasubiri line zifungwe walete vikwazo vya uwekezaji.
Watanzania tu watu wa ajabu sana mkuu. Ikitokea mda wa kusajili line za cm ukaongezwa kwa mwezi m1, kesho hutawaona watu wakiendelea na usajili. Watasubilia wiki ya mwisho ndiyo utawaona wamejazana kwenye foleni.Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.
Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.
Source ITV habari!
My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!
Hahahaaaa...... Una roho mbaya kama siyo CCM!Hakuna kuongeza muda tumechoka kila mara kuongeza muda! Wao waendelee kujisajiri tu lakini simu zao zikiwa zimefungwa wakimaliza kusajiri zifunguliwe! Rais ameongeza mara mbili July 2019 na Dec 2019!!
Umejuaje??Wao wenyewe wakubwa mbona hawakujisajiri huko mwanzoni?
Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.
Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.
Source ITV habari!
My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!
Sure mkuuWatanzania ni wale wale
Ukiongeza muda wanarudi kupumzika wakisubiri zima moto
Hata Ukiongeza mwaka watu wamezoea deadline
Kujiandikisha mwishoni kuna raha yake mkuu
Hata kwenye vita wanaoenda mwishoni kuna raha yake, Raha ya kupora mali na kujiliwaza
Wale wa mwanzo ni chambo tu kujisajili
Mkuu wakiongeza utaona foleni zimeisha siyo kuwa wamejisajiri bali wanasubiri mpaka mwisho mwisho ndiyo waende tena kujisajiri na kulalamika! Watz waajabu sana!!Hahahaaaa...... Una roho mbaya kama siyo CCM!
Hilo nalo neno mkuu!Watanzania tu watu wa ajabu sana mkuu. Ikitokea mda wa kusajili line za cm ukaongezwa kwa mwezi m1, kesho hutawaona watu wakiendelea na usajili. Watasubilia wiki ya mwisho ndiyo utawaona wamejazana kwenye foleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Selikali inajivunia tume mbovu ya uchaguzSaa hizi saa moja na dakika 19 usiku, hii ni foleni ya nje ya makao makuu ya tigo, watu akisubiri usajili line kwa salama ya vidole (kumbuka line hizi zilishasajiliwa kwa vitambulisho vingine)
Ndani kumejaa hawa ni walio nje.
Network ya NIDA haifanyi kazi, lakini watanzania hawa wameamua watasubiri tu hadi itakaporudi wasajili.
Binafsi sijaona usumbufu huu watanzania wanapewa kwa sababu gani,,,,,,,, wakati mwingine hata uzuri wooooote wanaojitahidi kuufanya, ukifika kwenye hivi vitu vidogo vinavyomgusa mtanzania vikiharibika, hiyo SGR, Flyover hazina maana.
Maana watanzania hawa ambao simu sasa ni maisha yao, unapotaka kuwafungia leo, watauona umuhimu wa SGR au Mombadia kweli? Maana kinachomoa kula sio SGR Bali simu yake ambayo sasa umeiingilia kwa makosa ya mfumo wako mbovu. Binafsi nimepata namba ya NIDA jumamosi saa moja usiku Juzi, toka jana nimeenda kusajiri kila sehemu mtandao wa Nida haufanyi kazi. Line yangu kwa kweli wazime tu, watawasha watakapojisikia. Tutaonana mbele ya safari, hakuna marefu yasio na ncha.....View attachment 1328734
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu!Mkuu wakiongeza utaona foleni zimeisha siyo kuwa wamejisajiri bali wanasubiri mpaka mwisho mwisho ndiyo waende tena kujisajiri na kulalamika! Watz waajabu sana!!