gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Hoja yako hujaiweka vizuri,mbona huwazi kwamba kati ya 53% ya line zilizosajiliwa kuna wengi waliosajilia ndugu na jamaa waliokosa vitambulisho ama wao wenyewe kusajili line zaidi ya moja?Mtu mmoja anamiliki line tatu mpaka nne na wengine mpaka sita kwa hiyo huenda hao wanaomiliki line nyingi wameamua kuzipunguza japo hii haiondoi ukweli kuwa wananchi wananyanyaswa kwa vile NIDA wameshindwa kazi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hoja yako hio ni dhahiri pia hio 53% ya watu waliojisajili,sio wote waliosajili line moja kwa kila mtandao.