Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa kwenye mhemko wa hasira hii ni lazima imtokee!!asante kwa taarifa.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ntalipa fidia Hadi mkose mishaharakama unataka kujua jukumu la nani subilia saa 11:59 na lingine kwani ungekua una issu na hicho kitambulisho binafsi usingekifuatilia tuache siasi fuatilia kitambulisho kuna mambo mengi ya ukiwa na hicho kitambulisho.
Kipind niliumia Sana nilikuwa na mkebe mmoja matata Sana ulitoka UK babu Cha kushangaaa nikaambiwa fakeMara simu fake sijui iliishia wapi, tukapata hasara, ivi kweli raia mimi ntajuaje hii ni fake au sio, kwanini Serikali kupitia TBS isizuie zisiingie, kiukweli Serikali ndo inarudisha nyuma Maendeleo ya wananchi
Ongeza mambo ya blogs na TV mitandaoni1. Mtaani wanapita vijana wamachinga na maspika yao, wanatangaza "tunasajili laini kwa alama za vidole". Wanachomoa vimtambo vyao, wanakuomba kitambulisho wanakusajili. Ni nani anaweza kupreserve integrity ya zoezi?
Hivi watu wenye ajenda zao wakiwapa hawa vijana pesa na wakisajili kwa fingerprints za watu wengine zoezi hili umakini wake utakuwaje?
2. Mtandao mmoja mtu anaweza kuwa na laini hadi 5
Je mtu mmoja mwenye kitambulisho akisajili laini kadhaa na kugawa nyingine kwa ndugu, jamaa na marafiki itakuwaje?
3. Huko vijijini ndani ndani kabisa hao wanaosajili kwa alama za vidole capacity yao ya kufika huko ndanindani ikoje?
MY TAKE:
Hii nchi ni nchi ya watu masikini sana, kinachosikitisha ni kwamba pale kunapoanza kutokea mwangaza fulani hivi wa sekta fulani kuanza kuchomoza na kushine ili baadae iwe nguzo muhimu ya kiuchumi na kijamii, huwa zinatokea forces fulani kutoka kwa serikali ileile kuanza kuweka regulation ngumungumu zinazorudisha mafanikio ya wananchi nyuma. Kwa mfano:
a) Wananchi walikuwa wameshapiga hatua kubwa kweli kwenye kumiliki TV, kiufupi nyumba za wananchi wengi vijijini na mijini walishaanza kuona TV kama sehemu ya utamaduni wao. Cha ajabu serikali ikaja na mambo ya kuhama Kutoka Analojia kuja Dijitali, na kusababisha kuleta watu wa ving'amuzi kitu kilichopekekea gharama za kumiliki TV kuwa juu, na matokeo yake nyumba nyingi nchini leo hii TV ni anasa!. Watu leo hii imefikia hafua kuangalia Taarifa za habari Bar, au kuangalia mpira wa ligi yao wenyewe kwenye mabanda ya mpira!
Kiufupi base ya wananchi wamiliki TV, imeshrink mno
b) Leo tena baada ya mafanikio ya wananchi mamilioni kwa mamilioni kumiliki laini za simu, serikali ile ile yenye kawaida ya kuvuruga baada ya mambo kuanza kuonekana kukaa kwenye msitari inakuja na reguation juu ya regulation, leo inataka watu wajisajili kwa vitambulisho vya NIDA plus fingerprints, wakati inajua ipasavyo kuwa capacity ya kuprovide vitambulisho hivyo kwa kasi ni ndogo lakini pia uwezo wa kusajili hizo alama za vidole kwa kasi ya kutosha hadi kucover huko vijijini ni mdogo!
Matokeo ya hili zoezi la usajili wa laini ni ama watu wengi watacheat kwa kutokuwa na usajili sahihi au kupelekea upunguaji wa umiliki wa laini za simu, matokeo yake wamiliki simu watapungua kama ilivyotokea kwenye zoezi la TV
Fakini yaani Fvck In?Hauna akili. Fakini
Watakaokosa mapato si wao wafunge hata wakifunga sio mwisho wa kuwasilianaNiwaulizeni nyie mnalalamikia NIDA TCRA hivi NIDA wanamiaka ngapi toka waanze kutoa vitambulisho.TCRA nao wana muda gani toka waanze kutuhimiza tukasajili line zetu.
Wasilaumiwe makosa ni yetu wananchi kila jambo tunadharau ata mombo ya msingi tunaleta dharau mie nimejiandikisha miezi ya nyuma huko na famila yangu baada ya muda mchache tumchuka namba.au toka miaka yote mlikua amjafikisha miaka 18 sasa ndio mmefikisha hiyo miaka.
Acheni lawama kwanza TCRA wametuvumia sana Chekini mnavyopanga mafoleni mtasema mnasubiria Mwendo Kasi Kimara.WAZIME LINE MSAJILI ZINGINE MLIYATAKA WENYEWE
Huyu jamaa nadhani hatumii hata hicho kichwa cha chini kufikiri. .kagombe,
Muda mwingine tumia kichwa kilichoko juu ya mabega kufikiri na sio kilichoko chini ya kitovu, watu wamejiandikisha mwaka 2013 hadileo hawajapata, waziri kaenda ruvuma kamkuta afisa wa nida anavitambulidho elfu 14 kavikalia hajavigawa, halafu unaleta janaba hapa
Mungu ni mkubwa, itafikia kipindi utaondolewa.Hawawezi kuupeleka ndugu. Ndiyo uchawi wenyewe waliurithi kutoka kwa mchawi mkuu kale kazee. Na wao wanauendeleza. Nia yao ni ovu sana..kufanya wadanganyika waendelee kuwa makondoo.
Ndg nadhani wewe unaishi mjini huangalii hawa watu wa vijijiniNiwaulizeni nyie mnalalamikia NIDA TCRA hivi NIDA wanamiaka ngapi toka waanze kutoa vitambulisho.TCRA nao wana muda gani toka waanze kutuhimiza tukasajili line zetu.
Wasilaumiwe makosa ni yetu wananchi kila jambo tunadharau ata mombo ya msingi tunaleta dharau mie nimejiandikisha miezi ya nyuma huko na famila yangu baada ya muda mchache tumchuka namba.au toka miaka yote mlikua amjafikisha miaka 18 sasa ndio mmefikisha hiyo miaka.
Acheni lawama kwanza TCRA wametuvumia sana Chekini mnavyopanga mafoleni mtasema mnasubiria Mwendo Kasi Kimara.WAZIME LINE MSAJILI ZINGINE MLIYATAKA WENYEWE
Kichwa cha chini kazi yake ukuongeza familia tu.Kichwa cha juu kazi yake kusoma ramani ya pesa sasa nyie mnawaza tofauti huku mnatupigia kelele mara NIDA OR TCRA wewe toa 2013 mpaka leo ujapata kitambulisho huo ni uzembe wako tu.mnalalamika ktk keybord futilieni vitambulisho 11:59pmHuyu jamaa nadhani hatumii hata hicho kichwa cha chini kufikiri. .
RIP Dkt. Didas Masaburi
mkuu mie niko kijijini tena shambani kabisa ila walivyokuja tu nikachukua familia yangu yote tukaenda tukaambiwa baada ya mwezi na mmoja na nusu namba zitakua tayari.kweli baada ya huo muda nikaanza kufuatilia nikazipataNdg nadhani wewe unaishi mjini huangalii hawa watu wa vijijini
Kosa la nida kutowafuta watu vijijini wengi wao huko hawajui hata maana ya vitambulisho, ingekua vizuri kurudia rudia kuwafuata huko,sio kama hivi walipita mara 1 na kuwasahau na bado waliojiandikisha hawajapata Namba toka 2017 vip wasirudi kurekebisha kama walikosea baadhi yao!!
Sent using Jamii Forums mobile app