Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi huwa wanazima usiku wa kuamkia hiyo cku husika c uliona analogy kwenda digitalwatanzania wengi reasoning capacity ni ndogo laini zina zimwa leo usiku wa tarehe 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
usiishi kwa mazoeaMara nyingi huwa wanazima usiku wa kuamkia hiyo cku husika c uliona analogy kwenda digital
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo bwege asiyejua tarehe 20 inaanzia sangpi ilibidi wawe wamezima asilimia kubwa ya simu.Hiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama NIDA wanatambua wengine sio Raia,Serikali ilipaswa kuliangalia hilo mapema kwa kutoa muda wa kutosha ili kila Mwananchi mwenye sifa awe amepata namba au kitambulisho cha NIDA tayari kwa usajili wa Line za Simu! Sio hizi kukurupapara zinazoelekea kuharibu maana nzima usajili wa Line za Simu.NIDA sio kuchukua namba au kujisajiri lazima watambue kama una uhalali wa kupewa namba wengine si raia
Haya ngoja tusubiri Leo.Hiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania wengi reasoning capacity ni ndogo laini zina zimwa leo usiku wa tarehe 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa ni 21.01.2020 sasaTcra walisema mpaka saa 6 usiku ndipo laini zote zisizosajiliwa zitazimwa
Huo ni woga wako ase! Au labda unaye mpigia kazima sim hapatkan we na mawenge yako moja kwamoja kufungua Uzi, uwaga mnakera sana nyie
Mkuu ujue hapa kuna utata wa kutoelewaWe ndo bwege asiyejua tarehe 20 inaanzia sangpi ilibidi wawe wamezima asilimia kubwa ya simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania wengi reasoning capacity ni ndogo laini zina zimwa leo usiku wa tarehe 20.
Sent using Jamii Forums mobile app