Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

1.Amechangia Kwa kiasi kikubwa sanaaa kupunguza foleni jijini Dar,ule mradi wa mwendo kasi na kupanua njia za katikati ya mji kulileta ahueni kubwa sanaa.

2. Amesaidia sanaa kurahisisha huduma za afya katika mikoa yote nchini kupatikana Kwa urahisi kwa kuhakikisha hospital nyingi za mkoa zinakua na hadhi ya rufaa na wilaya kupanda kuwa mkoa. Majengo mengi yalijengwa na vifaa vingi kununuliwa.

3. Alisaidia kuimarisha mifumo mbalimbali ya ulipaji kodi nchini iliyosaidia mapato ya nchi kuongezeka zaidi.

Wengine wataongezea mengine,kikubwa tutambue kuwa ameisaidia sanaa nchi kuvuka salama katika kipindi kigumu Sana cha UVIKO,pia alijitahidi sanaa kuwa sehemu ya sauti kwa wasio na sauti(wanyonge).

Alipendwa na wengi,lakini pia alichukiwa na wengi, MUNGU ampumzishe kwa amani...
Sukuma gang mna mtindio wa ubongo?
Mwendokasi kajenga Magufuli?
 
kuna mfanyabiashara gani aliporwa hata mia mbili iliyotosha kujengea bwawa??

ndio waume zenu wanahonga malaya miaka yote na kuwadanganya jpm kawapora fedha zao!!!
Sina muda wa kubishana ccm
 
Tatizo ni kutokufikiri kwako,haya amekufa ebu nitajie mafanikio waliyonayo watumishi na hao waliokuwa wanaporwa fedha.

Msiwe waropokaji kwa kuwa mna midomo inamaana leo ndiyo mmeanza kulalamika au kumlalamikia Rais wa Tanzania.

Alipokuwa waziri mlimuona mzuri lakini kwa kuwa Rais amekuwa mbaya kwa vile aliwabana kwenye UJANJAUJANJA?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Binadamu hawana shukrani, lile bwawa linalobezwa leo siku likija kukamilika manufaa tutapata wote, sasa kwanini lipewe kisogo na kuonekana ni ujinga tu?
 
Magufuli, Mwamba, BullDozer, Jiwe, Mzilankende, Ngosha, John na Rais wa Wanyonge hakika vizazi na Vizazi watakuta alama zako ikiwemo the Tanzanite Bridge na Bwawa la Nyerere. Mungu yuko pamoja na Team Wazalendo.
 
kuna mfanyabiashara gani aliporwa hata mia mbili iliyotosha kujengea bwawa??

ndio waume zenu wanahonga malaya miaka yote na kuwadanganya jpm kawapora fedha zao!!!
Forex Shops, ie Maxom
 
1.Amechangia Kwa kiasi kikubwa sanaaa kupunguza foleni jijini Dar,ule mradi wa mwendo kasi na kupanua njia za katikati ya mji kulileta ahueni kubwa sanaa.

2. Amesaidia sanaa kurahisisha huduma za afya katika mikoa yote nchini kupatikana Kwa urahisi kwa kuhakikisha hospital nyingi za mkoa zinakua na hadhi ya rufaa na wilaya kupanda kuwa mkoa. Majengo mengi yalijengwa na vifaa vingi kununuliwa.

3. Alisaidia kuimarisha mifumo mbalimbali ya ulipaji kodi nchini iliyosaidia mapato ya nchi kuongezeka zaidi.

Wengine wataongezea mengine,kikubwa tutambue kuwa ameisaidia sanaa nchi kuvuka salama katika kipindi kigumu Sana cha UVIKO,pia alijitahidi sanaa kuwa sehemu ya sauti kwa wasio na sauti(wanyonge).

Alipendwa na wengi,lakini pia alichukiwa na wengi, MUNGU ampumzishe kwa amani...
Alichukiwa na waliochukia alivyopendwa na wengi
 
Back
Top Bottom