Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatambua kabisa ni haki ya watanzania kuandamana na wana sababu ya msingi lakini kwa sababu flani akili yako bado ipo nusu na unafumbia macho ukweli wa mambo. Hayo ndio maajabu ya watanzania na waafrika kwa ujumla.Kaeni Mzungumze msivunje Amani
Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.[emoji3064][emoji848][emoji2827]Naondoka kesho jioni na Air Tanzania tayari kwa maandamano.
Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.
Nimekaa pale na kusubiria maana wengi wenu ni wakina Kimambi wapiga promoTUTAANDAMANA KWA AMANI YULE QLIETANGAZA USAFI SIKU HIYO TUTAMSAIDIA USAFI LITAKUA MOJA YA MAJUKUMU YETU SIKU HIYO
Mabasi yatarudi tupu,wengi wenu mtasalia huko kutokana na zoezi endelevu la usafi.Mkuu Kyela tunaondoka kesho kwa mabasi mawili kuelekea Dar , ni zaidi ya watu 100
Kila shetani na mbuyu wake, unalia na Malasusa,yule analia na umeme naye huyu analilia nafasi mbili za wabunge kwa jimbo moja.Naondoka kesho jioni na Air Tanzania tayari kwa maandamano.
Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.
Mkakodi watoto wa Palestina hawaogopi. Lkn hawa wakisikia Honda imepasuka mpira tu wote wanajitia mivugunguni. Au nasema uongo wadau?Wakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa mwaka 2023.
Mpaka sasa ruti ya maandano hayo imetolewa huku watu mbalimbali wakijitokeza kuunga na kupinga maandamano hayo, lakini pia na serikali ilitangaza kufanya usafi tarehe 23 na 24/1/2024 ikigusa siku moja iliyopangwa kufanywa maandamano, CHADEMA nao wakajibu mapigo kuwa wataungana na serikali kwenye usafi huo, na matukio mengine kadha wa kadha yakiendelea kutokea.
Ili tusikose matuo yanayojiri mpaka siku ya maandamano hayo kufanyika, ni vizuri tukawa na uzi utakaokuwa na updates zote, Hivyo wakuu tutumie uzi huu kupeana updates ya matukio yanayojiri na kufatilia mwendo wake mpaka siku yaliyopangwa kufanyika.
===
Pia soma:
- CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
- Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
- CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024
- Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN
Naomba rift mkuuMkuu Kyela tunaondoka kesho kwa mabasi mawili kuelekea Dar , ni zaidi ya watu 100
Wengine tutaanza usssikku.., tutaanza usssikku tena usiku wa manannnaneee....TUTAANDAMANA KWA AMANI YULE QLIETANGAZA USAFI SIKU HIYO TUTAMSAIDIA USAFI LITAKUA MOJA YA MAJUKUMU YETU SIKU HIYO
Kwani we unajitoa. Au we maisha magumu sawa huoni shida. Mitanzania mingine bwana.Kaeni Mzungumze msivunje Amani
Kama maandamano lengo lake ni kuvuruga amani vipi yawemo kwenye katiba?? Wewe punguani nn??Kaeni Mzungumze msivunje Amani