Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mhisani wiki hii anasababisha vurugu jukwaani!Nawaomba wana JF mwenye uelewa wa wapi alipo ndugu yetu huyu.
Namuomba mh IGP ikimpendeza basi ampangie huyu kaka yetu kazi ya kulinda maandamano ya CHADEMA hapo kesho...
Kila mpenda haki ataandamanaJohn Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024
Wakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa mwaka 2023.
Mpaka sasa ruti ya maandano hayo imetolewa huku watu mbalimbali wakijitokeza kuunga na kupinga maandamano hayo, lakini pia na serikali ilitangaza kufanya usafi tarehe 23 na 24/1/2024 ikigusa siku moja iliyopangwa kufanywa maandamano, CHADEMA nao wakajibu mapigo kuwa wataungana na serikali kwenye usafi huo, na matukio mengine kadha wa kadha yakiendelea kutokea.
Ili tusikose matuo yanayojiri mpaka siku ya maandamano hayo kufanyika, ni vizuri tukawa na uzi utakaokuwa na updates zote, Hivyo wakuu tutumie uzi huu kupeana updates ya matukio yanayojiri na kufatilia mwendo wake mpaka siku yaliyopangwa kufanyika.
===
Pia soma:
- CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
- Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
- CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024
- Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN
Kuna kila dalili kuwa Serikali ina mpango wa kuzuia maandano dakika za mwisho ...... Mark my words!!
Leo ni mgambo wa Jiji tuKwa mlio Dar es Salaam, Vipi wanajeshi wanafanya usafi wa leo?
Natoa ushauri kwa waandamanaji kabla hujaandamana omba vitu 3
1- BIMA YA AFYA
Maaandamano yana athari kubwa ikiwemo kilema; kupoteza maisha jitahidini mpate Bima ya Afya
2: POSHO
Chadema wamekusanya hela nyingi bajeti kila muandamanaji sh 850;000
3-Ahadi baada ya maandamano
Je chadema wamekuhakishia kutunza familia yako ukipata kilema au kupoteza maisha
Ccm mmewakatia wangapi bima za afya? tunaona huko moshi makonda anaandamana.Natoa ushauri kwa waandamanaji kabla hujaandamana omba vitu 3
1- BIMA YA AFYA
Maaandamano yana athari kubwa ikiwemo kilema; kupoteza maisha jitahidini mpate Bima ya Afya
2: POSHO
Chadema wamekusanya hela nyingi bajeti kila muandamanaji sh 850;000
3-Ahadi baada ya maandamano
Je chadema wamekuhakishia kutunza familia yako ukipata kilema au kupoteza maisha
Na kesho kutakuwa na mvua
🤣🤣🤣🤣🪑💺Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika🤣🤣🤣🤣💺🪑Moja ya ukomavu wa demokrasia ni kuacha watu waseme bila kuvunja sheria...