peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaMaandamano NI haki ya kikatiba, sukari kilo sh 5000 haiwezekani tumechoka.
Mimi nitakuwepo.
Vile vyama shikizi ikiwemo Eisitii ya zitto junior vitashiriki?CCM walikua na hali ngumu kuhusu kuzuia/kuruhusu haya maandamano.
Kwa kifupi, they were damned if they do, damned if they dont.
Mwisho wa siku it seems wameona demage ya kuyazuia ni kubwa zaidi kuliko kuyaruhusu.
Kila la heri kwa Chadema na watanzania wote mtakaoshiriki.
Ccm kwa Sasa hawana tena ubavu wa kushindana na CDM kwenye masuala ya msingi.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tayari Magari ya Matangazo ya Chadema ya kuhamasisha Maandamano ya Amani yameingia barabarani .
Habari njema zinadokeza kwamba Jeshi la Polisi limepokea Taarifa ya maandamano hayo Makubwa kuliko yote yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania
Zaidi jionee mwenyewe
View attachment 2879663View attachment 2879664View attachment 2879665View attachment 2879667View attachment 2879669
Sio habari, sema una force,Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
Ni haki yakeAliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
Wewe kaa tu nyumbani maana sugar wewe unaipata kwa sh 2000/ tu.na mm nitakuwepo nyuma ya keybord
Umemaliza kaziSio habari, sema una force,
labda Hasimu Rungwe akiahamia CCM ndo itakuwa hot news!
UmeuaNi haki yake
Kula kulala atajuwa wapi bei ya sukari?Wewe kaa tu nyumbani maana sugar wewe unaipata kwa sh 2000/ tu.
Maandamano hayahusu bei ya sukari we juha.Maandamano NI haki ya kikatiba, sukari kilo sh 5000 haiwezekani tumechoka.
Mimi nitakuwepo.
Yanahusu nini mkuu?Maandamano hayahusu bei ya sukari we juha.