Pre GE2025 Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

Pre GE2025 Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Moja ya ukomavu wa demokrasia ni kuacha watu waseme bila kuvunja sheria...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ruti imeshatangazwa YES! YES!✊️ SAUTI YA WATANZANIA pamoja sana.
 
hii nchi ccm sijui wanaipeleka wapi walahi hata sina mvuto nayo kwa kweli siasa maji taka hizi
 
Hili nalo nendeni mkalitizame
 
Attachments

  • 5184336-e4ee774d9083c52f0a74eb8e1ee681d3.mp4
    9 MB
Nawaomba wana JF mwenye uelewa wa wapi alipo ndugu yetu huyu.

Namuomba mh IGP ikimpendeza basi ampangie huyu kaka yetu kazi ya kulinda maandamano ya CHADEMA hapo kesho.

Maana naona alijisahau sana akasahau kuwa nchi hii inatawaliwa kwa vipindi.

Sidhani kama somo la utawala bora lilinasa vizuri.
 
View attachment 2880225
Kweli aisee
 
Back
Top Bottom